Msichana wangu ana nywele kifuani

Msichana wangu ana nywele kifuani

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,618
Noma sana, mtoto mzuri wa kichaga na ana vijisent kidogo.

Siku ya kwenda kumgegeda nilijua ni sokwe maana ana nywele nyingi sana kifuani kushinda hata zile za kapteni komb@ ukizingatia mimi mwenyewe sina hata nywele moja kifuani.

By: SUPU YA MAWE
 
Kumbe we huna garden love?sasa unashangaa nn? Huyo ndo wa ukwel
 
Aisee pole sana , anafanana na huyu???
 
Attachments

  • 1421786633335.jpg
    1421786633335.jpg
    16.8 KB · Views: 2,234
itakuwa homoni za kiume zimezidi zile za kike
 
Mbona saluni zipo kibao mpeleke akanyoe ili mfanane
 
Noma sana, mtoto mzuri wa kichaga na ana vijisent kidogo.

Siku ya kwenda kumgegeda nilijua ni sokwe maana ana nywele nyingi sana kifuani kushinda hata zile za kapteni komb@ ukizingatia mimi mwenyewe sina hata nywele moja kifuani.

By: SUPU YA MAWE

Kwa kuwa we huna unamwonea wivu siyo
 
Last edited by a moderator:
Noma sana, mtoto mzuri wa kichaga na ana vijisent kidogo.

Siku ya kwenda kumgegeda nilijua ni sokwe maana ana nywele nyingi sana kifuani kushinda hata zile za kapteni komb@ ukizingatia mimi mwenyewe sina hata nywele moja kifuani.

By: SUPU YA MAWE

Huyo Lazima Tu Alikuwa Anaelekea Kuwa Sokwe!
 
Dah aisee kuna watu mna bahati hapa duniani,yaani mimi miaka yote natafuta na sijawahi mpata mwanamke mwenye nywele kifuani ati.

Mwenye ndevu yenyewe tabu kumpata.
 
Back
Top Bottom