Msichana wangu ana nywele kifuani

Msichana wangu ana nywele kifuani

Noma sana, mtoto mzuri wa kichaga na ana vijisent kidogo.

Siku ya kwenda kumgegeda nilijua ni sokwe maana ana nywele nyingi sana kifuani kushinda hata zile za kapteni komb@ ukizingatia mimi mwenyewe sina hata nywele moja kifuani.

By: SUPU YA MAWE

Hahaha mbavu zangu mie...kwan unagegeda nywele zake au papuchi yake?

Think big.
 
mapenzi ya siku hizi ya ajabu sana, zamani mapenzi ilikuwa ni siri ndio maana watu walikuwa wanabanduana hata vichakani, machungani, visimani.. bila taarifa kuvuja
 
aiseeee babayangu chips dume unatuzalilishia dada ze2 wachaga na ole wako ufike mkuu rombo vidole vya kati vitausika kwenye 0715
 
kama demu wako ana nywele kifuani dawa yake wewe mwanaume unatakiwa ule utumbo wa ng'ombe nywele zake zote za kifuani zitatoka!kale utumbo wa ng'ombe kijana tena ule wa bomba!
 
Noma sana, mtoto mzuri wa kichaga na ana vijisent kidogo.

Siku ya kwenda kumgegeda nilijua ni sokwe maana ana nywele nyingi sana kifuani kushinda hata zile za kapteni komb@ ukizingatia mimi mwenyewe sina hata nywele moja kifuani.

Mimi hapo sijaona cha kushangaza hata chembe..sheria (hata kama haijaandikwa) ya mapenzi inasema mpaka mapenzi yawepo lazima yahusishe mtu mume na mtu mke..nikipiga hesabu ya kutumia "deduction method" natiririka hivi:

Kiumbe mwenye uwezo wa kuandika pumba kama hii na kuiita thread ya maana kisha akaimwaga katika jamii ya watu makini waliokaa attention kushauriana mambo ya maana, huyo kiumbe atakuwa wa kike tu

Hapo katika kombinesheni yenu inabaki nafasi moja tu..na kwa kuwa nafasi ya kike imeshatwaliwa na muanzisha thread basi aliyebaki ndo wa kiume

Sasa hatari iko wapi mtoto wa kiume kuwa na manyoya kifuani???

mulugo ni mzee wako? dont be that stupid, soma elewa kisha changia.
 
Back
Top Bottom