moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,905
- 4,940
Hebu tupe link ya hiyo thread aliyofungua... Watu tujioneemkuu huyo aneyesemwa kuwa alipewa hiyo kazi ameshafungua thread humu ya mrejesho wa interview ya hii kazi na yaliyojiri kwenye kachumba cha interview husika ambapo ameweka wazi kuwa KY jelly ilihusika wakati wa interview.