Msichana wa kazi anahitajika haraka

Msichana wa kazi anahitajika haraka

Kaunga

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Posts
12,529
Reaction score
13,501
Umri miaka 20 mpaka 35
Awe anapatikana Dar
Kazi ipo City center
Mshahara 150,000
Uzoefu wa kulea mtoto
Aweze kujisimamia mwenyewe

Kama unamjua mdada anayehitaji kazi na ataweza kulala kwa muajiri (asiye na mume) basi niPM.

Deadline ni kesho
 
kuna mdada moja anahitaji kazi hapa mtaani kwetu .ila sina uhakika kama vyigezo ulizotaja anazo. Subiri nikuuizie kama anazo ntakujulisha mapema.Lasivyo mungu akusaidie apatikane atapokua na mapenzi ya kazi
 
kuna mdada moja anahitaji kazi hapa mtaani kwetu .ila sina uhakika kama vyigezo ulizotaja anazo.Subiri nikuuizie kama anazo ntakujulisha mapema.Lasivyo mungu akusaidie apatikane atapokua na mapenzi ya kazi

Asante Mzee, nasubiria majibu yake kupitia kwako
 
Wa mkoani hauitaji?!

Atapatikana kesho?
Ninahitaji lkn kwa emergency hii naona kama ngumu.
Ila ninahitaji ingawa wanahitaji mafunzo kwanza
 
Atapatikana kesho?
Ninahitaji lkn kwa emergency hii naona kama ngumu.
Ila ninahitaji ingawa wanahitaji mafunzo kwanza
Housegirl wa kiume hutaki?:becky::becky:...
Kulikuwa na muhaya humu alihitaji kazi kama hizi ..
 
Kazi ni wapi? Mbona mahahara mdogo mana hao wanakuwa nyumba ukoo
 
kuna mdada jiran angu anapenda sana hyo kazi maana amesoma mpaka elimu ya juu about laboratory ila andaa vyumba 5 vya kulala watoto wake namwambia akupm sasa hv
 
nicheck 0714813231 kuna mdada anafaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom