Dada wa kazi anahitajika

Balozi limited

JF-Expert Member
Jun 6, 2022
989
2,564
Natafuta msichana wa kazi za ndani kwa ajili ya kukaa na mtoto wa umri miaka 2 msichana awe na umri miaka 18 hadi 22, single, mshahara 40000, kula kulala ni juu yangu, atakaa na familia ya watu watatu pamoja na yeye wanne.

Sehemu ni Moshi

Simu: 0713695989.
 
Fanya mishe za day care, kwanza wachaga hawafanyagi kazi za house girl, pili hata kuletewa msichana kutoka mkoa mwingine kuja Moshi mshahara huo mdogo kwa mtoto wa miaka miwili.

Hao day care tu wenyewe nadhani ada yao si chini ya 50,000/=

Una changamoto.
 
kula na kulala kwako isiwe sababu ya mshahara kuwa mdogo hivyo, tena bado kuna mtoto mdogo.....uangalizi wake sio jambo rahisi... elfu 40 kwa gharama za maisha zilivyopanda namna hii si chochote
 
Huo mshahara wako endapo ukipata binti wa kazi tafadhali nami nahitaji wawili.
Ushauri wangu ongeza mshahara angalau ufike 60,000.
Wasichana wa kazi siku hizi wanaringa kuliko watu wenye PhD ya medical.
 
Huo mshahara wako endapo ukipata binti wa kazi tafadhali nami nahitaji wawili.
Ushauri wangu ongeza mshahara angalau ufike 60,000.
Wasichana wa kazi siku hizi wanaringa kuliko watu wenye PhD ya medical.
:D :D :D :Djama hajui anachokisema eti elfu 40 labda apate wa udalali ambae hatakaa week ampige na kitu kizito
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom