Msichana wa kazi anahitajika haraka

Msichana wa kazi anahitajika haraka

Kaunga

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Posts
12,529
Reaction score
13,501
Wewe ni mdada au unamjua mdada ambaye ni hard working na ni mcha Mungu anayeweza kufanya kazi bila kusimamiwa.

NiPM haraka mawasiliano yake, kuna kazi ya ndani na kuangalia mtoto mmoja. Mshahara ni sh 150,000.

Kazi sio nyingi kwani kuna wadada wengine 2 wanashughulika kupika na usafi.

Muhimu uwe na cheti cha kuzaliwa na barua yenye picha kutoka serikali ya mtaa uliopo.

Nafasi ya kazi ipo Dar city center
Karibuni
 
Daaaaa dau kubwa sana! Hio kazi mmmmhhhhhhhh!
 
Cheki na hii kampuni wanaitwa Housemaids_tz wacheki instagram
 
Wewe ni mdada au unamjua mdada ambaye ni hard working na ni mcha Mungu anayeweza kufanya kazi bila kusimamiwa.

NiPM haraka mawasiliano yake, kuna kazi ya ndani na kuangalia mtoto mmoja. Mshahara ni sh 150,000.

Kazi sio nyingi kwani kuna wadada wengine 2 wanashughulika kupika na usafi.

Muhimu uwe na cheti cha kuzaliwa na barua yenye picha kutoka serikali ya mtaa uliopo.

Nafasi ya kazi ipo Dar city center
Karibuni

Ni pm nina mdada anavigezo hivyo na nimlezi mzuri wa watoto
 
Back
Top Bottom