Msichana wa kazi anahitajika haraka

Msichana wa kazi anahitajika haraka

bwegebwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2010
Posts
1,072
Reaction score
189
Anatafutwa msichana wa kufanya kazi za ndani

UMRI: Miaka 20 - 30

DINI: Preferably awe mkristo, kama ni muislamu akubali kuishi familia ya kikristo

KAZI: Kazi zote za ndani, kupika, kufua, kufanya usafi wa ndani na nje, kuangalia watoto na pia kufanya kazi nyingine atakazoagizwa kama kwenda sokoni etc

MAHALI: Eneo la kazi ni Dar es Salaam, ataishi kwa mwajiri wake

MSHAHARA: Makubaliano

MUHIMU:
  • Binti anayeombewa kazi awe na tabia nzuri, muelewa, awe anapenda watoto, anayejua kupika na mwenye uzoefu wa kazi hizo ni vizuri zaidi.
  • Mwajiri atatoa malazi, chakuala na matibabu wakati wa ugonjwa.
  • Binti asiwe na magonjwa sugu/ya kuambukiza na awe mwenye tabia na heshima mbele ya jamii.

Mwenye information/kama unafahamu binti anayehitaji kazi au anayefaa tafadhali ni-PM au nitumie contacts

Asante
 
Mkuu yupo huku mikoani ni binti mwenye uzoefu ktk kazi hizo,alikuwa anafanya kazi kwa rafiki yangu akaamua kuacha kazi kutokana na tabia za mke wa rafiki yangu kuwa na wivu ulopindukia, kama bado hujapata basi twende PM
 
Mkuu yupo huku mikoani ni binti mwenye uzoefu ktk kazi hizo,alikuwa anafanya kazi kwa rafiki yangu akaamua kuacha kazi kutokana na tabia za mke wa rafiki yangu kuwa na wivu ulopindukia, kama bado hujapata basi twende PM

Aisee nitashukuru sana, kama yupo na anao uzoefu atasaidia. Nimeku-PM tayari, nasubiri kusikia kutoka kwako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom