Msichana ninayemsomesha ananisaliti

Mchumba anasomeshwa chuo cha biblia/quran tuu we jikute mo
 
Nisomeshe Mimi Wala sintokusaliti.
 
Nisomeshe Mimi Wala sintokusaliti.
Siamini tena kiumbe anaitwa mwanamke. Kila kitu huwa tunajifunza kwa makosa yetu au ya wengine. Mm nimejifunza nikiwa field so nimeamini mchumba hasomeshwi, na usijaribu kutumia nguvu nyingi kwa mwanamke ambaye sio mke wako utalia mchana kweupe

Kama wewe mkristo nakuacha na huu mstari kajisomee
Mit 31:3 SUV

Usiwape wanawake nguvu zako; Wala moyo wako usiwape wale wawaharibuo wafalme.
 
Karibu miaka 10 unazunguka ukisomesha, nakusalitiwa.
 
Mimi nimewaza hivo, kuna kitu hakipo sawa hawezi kujitoa hivo halafu achapiwe kizembe kila mara
Age ta waschana wadogo ni malaya ndio nlichojufunza maana wote walikuwa under 20. Na huyy wa mwisho alikuwa na 17 yrs wakati tunaanza kudate. Siamini sana kama shida ipo kwangu. Umri huu wanakuwa moto unawaka sana.pia wanashawishika kirahisi mno.
 
Nna mdogo wangu wa kike familia tumeahindwa kumsomesha ni pm nikukabidhi ana maadili mema sana.
 
Kama wew unamsaliti mke wako,
Nawe lazima usalitiwe hata ukihudumia Kwa ukubwa gani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…