Msichana ninayemsomesha ananisaliti

Unahitaji ushauri gani sasa ilhali umeshatoa tamko tayari? Sisi tunashauri nini hapo?
 
Mkuu embu jichunguze wewe kwanza... ni kwanini unachapiwa sana? Kwa wanawake wawili wote umechapiwa??? something is wrong somewhere
 
Aisee wewe una karama ya kusomesha wanawake duu hakika wewe ni “loans board”
Hivi huna ndugu wa kusomesha? Unasomesha mwanamke ili akuonee huruma?
Halafu kwanini wewe unachapiwa sana wanawake zako? Hebu jitazame upya mkuu!
Unacho kipata ni laana ya kusomesha mwanamke asiye kuhusu,,,,,
Halafu wewe kusomesha wanawake ni kama hobby yako aiseeee
 
Wewe na hao watoto bado ni watoto wote

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Aisee mkuu umevunjaa miiko, sasa nashangaa mkuu ni kuwa uko na Huruma sana kupita uwezo wako wa kufikiria au shida yako ni nini hasa??
 
Kaka mchumba hasomeshwi
Umekosea Sana wema unakuponza
M sinaga huruma na wanawake ndo maana nawaburuza tu
 
Jamani namimi naomba nisomeshwe nimekaa tu kumbe Kuna msaada hapa
 
BRO SIMAMA MBELE YA KIOO JICHAPE MAKOFI KUSHOTO NA KULIA.

AJABU WAZAZI WAKO HUWASAIDII KAMA WATOTO WA WENGINE.NYAU WEWE
 
Hawa wengine 2 nliwasomesha elimu ya veta ambao ada yake haitoshi hata kununulia viatu so msidhani kusomesha ndo nlikuwa nayoa gharama kubwa sana. Huyu wa mwisho ndo nlimpeleka chuo kikuu naye kozi ya certificate tu. Amayo ada ni almost laki 7. Nayo nimelipa nusu jumlisha nauli na mstumizi ya kila siku. So its not a big deal
 
Una krismass ngapi mjini,?
Mkuu mimi nlianza kuishi dar lami ilikuwa morogoro roat pekee hivo tulia sana tu enzi ya stand ipo kisutu. Na daladala ni chai maharage
 
Mkuu mimi nlianza kuishi dar lami ilikuwa morogoro roat pekee hivo tulia sana tu enzi ya stand ipo kisutu. Na daladala ni chai maharage
Pugu road inalami tangu enzi za mkoloji
 
HESLB no 2, unazingua sana mbona HESLB mwenzio anatoa mikopo kwa mamilion ya wanafunzi na halipi kisasi sala kulalama.

Ushauri.
Tafuta washikadau, mpite huko vijijini ili msomeshe vijana wengi zaidi.
 
Pole sana, fanya mambo mengine, watakuua...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…