Msichana ninayemsomesha ananisaliti


Jitafakari una matatizo makubwa kuliko hao mabinti.
 
Sijasoma story
Ila MCHUMBA HASOMESHWI, tulishakubaliana.

Ngoja nisome sasa
 
Na unaweza tuambia umri wako?!
 
Hizo pesa bora utuite wana maana furaha ni kuwa na marafiki kulewa kwa pamoja
 
Du mwanangu Holly Una moyo Sana kusomesha wachumba mhmm roho ngumu Sana tena Ile ya 🐈kwa mara ya Kwanza tutasema kuteleza si kuanguka na ya ✌️tena sijui tusemeje
 
Zaa watoto wako usomeshe, hivi wanaume kwa nini mnapwnda kujipa majukumu ya wanaume wenzenu? Huyo mchumba alitakiwa kusomeshwa na baba yake wewe unajifanya una hela sana kuliko baba yake.
 
Kwa namna unavyoandika inaonekana una umri mkubwa, ila uandishi wako unaonekana nidogo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…