Msichana mzuri kufa masikini nikujitakia

Huu ushauri inabidi uutoe siku moja jioni mbele ya mkeo na binti zako baada ya kupaki bajaji yako usikie watakwambiaje then lete mrejesho hapa.
 
Kweli umeamua kuhamasisha ukahaba au ulikuwa unataka kumpa wazo jingine LA biashara
 
Yaani wanadam mnafurahisha kweli2 mwenzenu amekaa na kuumiza kichwa akafikia hapo mwisho mnamuangusha. Ila sishangai atakua mtoa voda.
 
Hawa ndio watanzania wanaosema eti nao ni wasomi!! Mgufuri kazi unayo
 

Vice versa at the same time
 

Mmh we noma aisee, nahisi hata atoto haoni ndani
 
Last edited by a moderator:
Wanawake wamekuwa wakali sana kwenye huu uzi,je wote na waziri Evelyn Salt?
 
Na wapo wengi kweli wanaotamani wangekuwa wanawake ili wahongwe, wengine wanaamua kuolewa kabisaaa!!
Duuuh! eeeh Mungu tunusuru na hili janga.


Opportunity ikitokea itumie ipasavyo, usizubae.

Ujue umenichanganya sasa sista, nahisi na wao wana the same thinking, wanatumia opportunity
 
Haya ndio madhara ya akina mama kuingiza wanaume ndan hovyo huku watoto wakiwa wanaona. Ww kijana bila shaka mama yako alikuwa muuza uchi ulizoea kumwona akijiuza ndio maana hata akili iko kwenye kuufanya mwili wa mwanamke kama kitega uchumi

Daaaah! Msitukane mama za wenzenu hivyo!! Leave mamaz out of this plz
 
Ujue umenichanganya sasa sista, nahisi na wao wana the same thinking, wanatumia opportunity

Kwani kaka na wewe unanioneaga wivu nikipewa hela?
 
Hahaaaa sasa mbona umenigeuzia kibao tena sista, daaah hadi nimecheka peke yangu ujue!!

Hahahaaaaa!! Nimekumiss my beloved kaka, by the way thanx niliupata muamala, alafu mbona this time umetuma nyingi? Hii ni hongo eti? Ukichepuka nakusemea.
 
Hahahaaaaa!! Nimekumiss my beloved kaka, by the way thanx niliupata muamala, alafu mbona this time umetuma nyingi? Hii ni hongo eti? Ukichepuka nakusemea.

Hahaaaa nami nilikumis sistaangu, ndo maana nilipokuona tu fasta nikalianzisha.
Nashukuru kama muamala ulioona, hapana sista siyo hongo, this time nimeongeza kidogo ili ukae muda mrefu bila kuniomba tena, si unajua Tingatinga kaishafunga mirija yote?! so hali mbaya hata watoto nimewahamisha shule
 

Nooo shangazi zangu marufuku kuwahamisha kabisaaa, tutajichanga ila lazima waende shule, and for that sikuombi hela tenaaaa! Nitakuwa namuomba RRONDO maana ameuza mihogo.
 
Last edited by a moderator:
Nooo shangazi zangu marufuku kuwahamisha kabisaaa, tutajichanga ila lazima waende shule, and for that sikuombi hela tenaaaa! Nitakuwa namuomba RRONDO maana ameuza mihogo.

Hapo sawa kabisa sista, ndo undugu huo atii
 
Acha kuwadhalilisha wanawake wewe, yaani kumbe wewe ungekuwa mwanamke ungegawa haswa.
 
Heshima kubwa iende kwa yale makabila yanayowaingiza wavulana jandoni kama Wamasai na Wakurya...lkn hawa wengine wanaotahiriwa hospitalini hlf wanarudi kukaa na mama zao chumbani ndio matokeo yake haya.
 

Dada ako anasura gani...?? Too bad hii ni mitanzania inayoturudisha nyumba inawaza utumbo kama huu badala ya kufikiria elimu kwa watoto wetu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…