Utakufa kweli! Kwani ulifikiri kuna utani wa hivo? Hujui kwenye madisco yenu kuna maajenti/wachawi wengi? Unamdanganya kumbe anakujua hadi tumboni umekula nini anaona! Vijana angalieni sana usione dunia kwa macho ukadhani ni salama! Eti majini yanakuwa marembo na pafumu Kali! Ndio ufahamu wako umeishia hapo! Majini yanakaa chooni, yanaishi Mara nyoka, inzi, mende nk hapo kuna pafumu gani? Huenda ni ka free mason kametumwa damu, we unajichanganya eti demu! Anza kumuomba Muumba akusaidie na achana na madisco! Huu ni ushauri ukidharau utakufa kweli!