Msichana kaniona mara moja tu kanitongoza. Hivi ni umalaya au uhuru wa kuongea?

Hahaha we jamaa fala sana ukute ulipita mitaa ya uhindini ukaitwa na makahaba maana kule wamezagaa kama nzi
 
Siku moja pitapita zangu kitaa cha Dodoma town niliitwa chemba na binti mmoja ambaye alijitambulisha anasoma CBE.

Alifunguka kuwa ananipenda sana na alikuwa akinitafuta mda mrefu sana. Dahhh nilishindwa chakumwambia akachukua namba zangu so kila time ananisumbua.

Nimjibu vipi jamani?
Wanaume wa mikoani mnatuangusha sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom