Duh wadau sijui kama mmeona hii:-
Aisee! very very nice. Kijana licha ya umri mdogo alionao inaonekana anatisha sana katika anga hizo.
..Kwanza, ni darasa la Sita
...Pili, anatongoza pila wasiwasi
....Tatu, kwasababu roho ya zinaa ilikuwa imemkamata anaamua kwenda Disco
.....Kisha anapanga hafla fupi ya uzinduzi wa penzi... n.k!
Hapa kinachonitia wasiwasi ni kama Darasani napo yupo fiti kihivyo..!!!!!!!?? Mambo ya kitaifa na kimataifa pamoja na mabadiliko ya kiuchumi sijui kama anapata japo muda wa kuperuzi kitu....!?
Sipati picha mbele ya safari yetu kuhusu Jumuiya ya Afrika Mashariki, Uwekezaji, Viongozi bora, Soko huria, Kujiajiri n.k............ EeMungu uturehemu.