Msichana hanitaki tena

Badala ya Romance unaandika romans ,na unasoma chuo!

Ndio maana "demu wako wa chuo anakunyima mpaka mfike mwaka wa tatu"

Beggars can't be choosers
Sahamani mkuu sisomi lugha that's why sina utaalamu wa kuandika
 
Dah kazi tunayo, hadi vyuo vifunguliwe, thread tutapata za ajabu sana, hivi ile uzi ya kula tunda kimasihara haipo uisome?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usimtarajie tena huyo demu. Una haraka sana. Ksbb ya umri wenu wengi mmeanza kuiga ile ya kula tunda kimasihara. Mnafikiria wote ni rahisi kwa hiyo mmelemaa na kimasihara yenu. Umempoteza kwa haraka na ujinga wako. Huyo anajielewa sio hao mnaowalaga kimasihara. Msahau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Bikra lazima utoe damu..Mimi sijawai iona hiyo damu. Na wewe mleta Uzi unaamini middle finger yako Inaweza to Bikra?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ulikua unabaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikua ANATAKA nayeye akatoe ushuhuda fasta...kwenye ule uzi wakula kimasihara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani ulale na Dem halafu usimkule?
Nakuhakikishia,humkuli Tena huyo,na ukiimkula nakupa elfu kumi,Dem ukishadelay Mara ya Kwanza Kam hivyo,jua humkuli teeeeeeena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…