Nakaa najiuliza kwanini wote wanaotafuta wenza humu aidha ni member au junior member?hawa JF expert senior members na wengineo wamepotelea wapi?Just thinking out loud!!Kila la kheri mkuu!!
Mpendwa that is interesting !! damu inachemka...young blood!!Nakaa najiuliza kwanini wote wanaotafuta wenza humu aidha ni member au junior member?hawa JF expert senior members na wengineo wamepotelea wapi?Just thinking out loud!!Kila la kheri mkuu!!
1. sisi ma expert huwa tuna-create account za kutafutia 'mizigo' 2. maexpert tumeshapata tunalea mapenzi yetu 3. ...
Angalie isije ukaungua mkuu manake ikichemsha sana nayo itakua hainywiki Binamu.....Mpendwa that is interesting !! damu inachemka...young blood!!
1. sisi ma expert huwa tuna-create account za kutafutia 'mizigo' 2. maexpert tumeshapata tunalea mapenzi yetu 3. ...
Nahitaji mwanamke mwenye kujitambua, elimu yeyote kuanzia form four. Kama unasifa hizo plz nichek kwenye pm
Nahitaji mwanamke mwenye
kujitambua, elimu yeyote kuanzia form four. Kama unasifa hizo plz nichek
kwenye pm
Huoni kama watu wakivaa uhalisia wao ndo inaongeza chances za suala zima kuchukuliwa serious na hence kuvutia watu kama wao!!
ha...hujui kuwa kuna watu tuna ingia huku na wake zetu...tukiweka uhalisia si patachimbika huko home!
ha ha ha sasa mtongeze wanawake wengine kwa mantiki gani na mna wake zenu msojituliza??unajifunga kamba mwenyewe mkuu!!
Ha!dini inaniruhusu eti...hata hivyo hiyo hiyo kila siku haikukinai...
Dini inaruhusu kuoa!Na kama unataka kuoa mkeo anapaswa ajue!
Unahalilisha uzinzi?Unatakiwa kutest kabla ya kununua chombo eti
Unahalilisha uzinzi?
Tushkar bintamu...kuninabehisha !! basi ntawaachia wamasai hiyo damu!Angalie isije ukaungua mkuu manake ikichemsha sana nayo itakua hainywiki Binamu.....