princemikazo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 2,195
- 2,062
Mimi hoi
Duh!Bila kusahau nguvu za kiume,.
Wewe utakuwa unapenda vibamia unaogopa kuumizwa na mihogo,acha uoga wewe...Kibamia sio ishu sana..maana unaweza miliki AK47 na bado adui akakushinda vilevile