Msichana anapokwambia

Msichana anapokwambia

Msichana anapokwambia "Tell me about
Yourself" Manake anataka kujua kama una kazi
au una gari.. sio uanze "mimi mpole, najali,
nampenda Mungu
Hapana, anataka kujua marital status yako !!!! Huwez mtongoza mtu afu unaanza habari za kazi yako cjui magari....... Atakuona wa kuja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msichana anapokwambia "Tell me about
Yourself" Manake anataka kujua kama una kazi
au una gari.. sio uanze "mimi mpole, najali,
nampenda Mungu
Mkuu umenikumbusha mbali sana,kuna dada nilimtaka kwa ajili ya kuja kuwa naye kama mke,yeye hata kazi alikuwa hana,alikuwa na tu kwenye duka la ndugu yake, nilifanya hadi process zote za kutaka kuoa na kuanza kujua ndugu zake,.

Na nilichukia tu pale alipotaka kujua mshahara wangu kuwa nalipwa shilingi ngapi kwa mwezi,nilimuona ni mpumbavu maana kila siku ananiuliza nikaamua kupiga chini fasta sana

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
umenikumbusha interview ya kuwasaka viranja wa shule.. jamaa alikua mbabe kweli anagombea ukiranja mkuu.. akaulizwa swali hilo hilo.. ''tell us about your self!" binadamu yule akajibu... "telling your selifu iz head prefect".. binadamu yule alisababisha mwalimu mmoja wa kike acheke hadi kudondosha chupa ya chai....
.
.
.
rai tuwe makini sana na hili swali.. si rahisi kama tunavyodhani..
 
😀😀😀
 
Msichana anapokwambia "Tell me about
Yourself" Manake anataka kujua kama una kazi
au una gari.. sio uanze "mimi mpole, najali,
nampenda Mungu
Mwanamke ambaye anakuambia hivyo bado ni mtoto kwa watu wakubwa sio mambo hayo watu wanaambiana for the first time .
Mkikutana wakubwa tu anakuambia i am chris na wewe unasema queen nice to meet you nawewe unamjua neno lako sasa .
Where are from na mambo hujileta.
Watu hawako interview mapenzi ni hisia mnapeana raha tell me about yourself mko chekechea au unaomba visa .
Huo ni ushamba .
Ukimdanganya ukamla ukampiga chini.
 
Now your grown up
 
Agiza kichwaj chochote nakuja kulipia
 
Msichana anapokwambia "Tell me about
Yourself" Manake anataka kujua kama una kazi
au una gari.. sio uanze "mimi mpole, najali,
nampenda Mungu
Kwaio inabidi useme mimi nipo UNICEF HQ DSM nafanyakazi kama Assitant Protection Officer NO B, na drive 2010 Crown Athlete naishi Mikocheni kwa warioba vipi na wewe je? Halafu ukute yeye anakwambia mimi nimemaliza tu diploma ya procurement...
 
Back
Top Bottom