Msichana anapokwambia

Msichana anapokwambia

Msichana anapokwambia "Tell me about
Yourself" Manake anataka kujua kama una kazi
au una gari.. sio uanze "mimi mpole, najali,
nampenda Mungu
Kama una uzoefu na interviews. Hilo sio swali geni kwako. Kwa upande wa mwanamke ni principle zile zile.
 
Msichana anapokwambia "Tell me about
Yourself" Manake anataka kujua kama una kazi
au una gari.. sio uanze "mimi mpole, najali,
nampenda Mungu
hapana,kama anahitaji kujua una kazi au gari atakuletea story za kero za asubuhi na usfiri wa daladala,hapo sasaa ndiyo ujichanganye mamaezake
 
Chomeka ulongo Mwingi sana lazima aingie kuminanane.

Kidume usipokuwa na maneno yakuchomoa na kuchomeka yaani Profesheno fix Utapata wakati mgumu sana kupata Papuchi za kutosha.

Hali zenyewe za Maisha yetu zinafahamika zipo wazi sana kama vazi la kahaba.
 
Back
Top Bottom