Go mi num
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 1,321
- 1,609
Kwa nini hio nakupenda umeiandika kwa herufi KUBWA?
Anaonesha msisitizo!!!!!
Kwa nini hio nakupenda umeiandika kwa herufi KUBWA?
Mambo vipi wana Jf wenzangu?
Karibuni tujadili hii mada maan hadi sasa nachanganyikiwa kabisa sijui ndio napendwa au zuga tu! Ok turudi kwenye mada. Just imagine wakati nikiwa na mishemishe zangu ghafla kuna msichana wa mtaani na namfahamu pia ananiita nilipomsogelea tu bila ata ya kumug'unya mdomo ananiambia NAKUPENDA na mimi simply nikajibu "asante" ikumbukwe hapo sikuona sign ya mapenzi wala tabasam.
Msichana wa pili na yeye ni wa mtaani tu siku moja nlimshtukia ananiangalia sana na vile vitabasam vya mbaali ikabidi nimuulize kulikoni simply akanijibu NAKUPENDA TU! Msichana wa tatu yeye nimekutana nae chuoni yaani huyu yeye ata sijawai kuwa na story nae kabisa baada ya salam tu ya kawaida ila kuna siku nmepita karibu yake baada ya kumsalimia tu akasema "MIMI NAKUPENDA " nikamjibu tu "asante" na ikumbukwe sijaona tabasamu lolote hapo wala sijawahi ona zile sign kamfacial expresion Ma expert wa mas-ala ya saikolojia ya mapezi mnakaribishwa!
Ahsanteni muwe na asubuhi njema!
Wanaume rijali wanazidi kupungua kwa kasi ya ajabu!
Kama kuna girl humu aniambie basi ananipenda
Nakupenda
Wanaume rijali wanazidi kupungua kwa kasi ya ajabu!
Wanawake huwapenda wanaume wenye sifa zifuatazo:-
1. Wenye pesa.
2. Wenye Uwezo Darasani/ Waliosoma sana.
3. Maarufu.
4. Handsome.
5. Watanashati
Jichunguze, sifa mojawapo tu hapo huwavutia mabinti. Ukiwa nazo zote basi unaweza usioe kabisa, maana watakupigania kama mpira wa Kona.
Ni hayo tu