Msichana anapokuambia anakupenda

Msichana anapokuambia anakupenda

Wanawake huwapenda wanaume wenye sifa zifuatazo:-
1. Wenye pesa.
2. Wenye Uwezo Darasani/ Waliosoma sana.
3. Maarufu.
4. Handsome.
5. Watanashati
Jichunguze, sifa mojawapo tu hapo huwavutia mabinti. Ukiwa nazo zote basi unaweza usioe kabisa, maana watakupigania kama mpira wa Kona.
Ni hayo tu

mkuu namba moja aliye bahiri hadi kwake mwenyewe hapendeki kwakweli hizo pesa utazisikiaga tu!,

wasongokaji wa darasani hao naweza sema atlist watawaburuta wasichana ambao kwao bora elimu na sio elimu bora!

Pia hizo no 3,4,5 huyu mtoa mada km anasifa hizo hao wamtongozao asiwaoe kwa maana ye ni kama show fashion tu.
 
Mkuu una kismati cha kupendwa, yawezekana una kitu flani kinawapa mvuto wanawake walio wengi.
 
Pale hukupaswa kuishia kusema ahsante. Ilibidi uedeleze story ya kutaka kumfahamu vyema huyo binti aliyekutamkia. Ungeweza hata kumtoa out na katika maongezi ni rahisi ku figure out interest yake ni nini kwako. Umepoteza fursa mzee.
 
Mambo vipi wana Jf wenzangu?

Karibuni tujadili hii mada maan hadi sasa nachanganyikiwa kabisa sijui ndio napendwa au zuga tu! Ok turudi kwenye mada. Just imagine wakati nikiwa na mishemishe zangu ghafla kuna msichana wa mtaani na namfahamu pia ananiita nilipomsogelea tu bila ata ya kumug'unya mdomo ananiambia NAKUPENDA na mimi simply nikajibu "asante" ikumbukwe hapo sikuona sign ya mapenzi wala tabasam.

Msichana wa pili na yeye ni wa mtaani tu siku moja nlimshtukia ananiangalia sana na vile vitabasam vya mbaali ikabidi nimuulize kulikoni simply akanijibu NAKUPENDA TU! Msichana wa tatu yeye nimekutana nae chuoni yaani huyu yeye ata sijawai kuwa na story nae kabisa baada ya salam tu ya kawaida ila kuna siku nmepita karibu yake baada ya kumsalimia tu akasema "MIMI NAKUPENDA " nikamjibu tu "asante" na ikumbukwe sijaona tabasamu lolote hapo wala sijawahi ona zile sign kamfacial expresion Ma expert wa mas-ala ya saikolojia ya mapezi mnakaribishwa!

Ahsanteni muwe na asubuhi njema!

unashangaa nini wanawake nao ni binadamu na wana hisia zaidi za kimapenz kuliko hata mwanamme, ikabaki wengine wanavumilia wengine ndo hushindwa wanakuambia tu direct kama ilivyo kwa mwaname kwa mwanamke.

swali: je wewe mwenyewe uko fiti??? au unataka kuniambia si mtu wa mambo hayo ndo mana hurespond nawo?
 
Back
Top Bottom