Msichana ana mpenzi, Namimi nimempenda

Msichana ana mpenzi, Namimi nimempenda

mnunulie basi hata ka helicopter kama ka gwajima. angalau muwe mnapaa angani. huku ukimfundisha maneno ya kumwambia. na wewe ,hata hujiongezi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi ni wewe unayefanya uhalifu huuu
 
Duuuuuh! Anachoniuliza ni kwa nini Siku zote hizo sikumwambia huo mtongozo!

Hadi leo ana mtu,na anasema afanyaje sasa! Amwambiaje huyo mtu?
We unaona hiyo ndo sababu ya msingi kweeli....

Kiufupi hana msimamo!!! Akija mwingine atamwambia hivyo hivyo....
 
Akisha sema hvyo achana nae epuka kuingilia mapenz ya watu unajua maumivu yake? Tafta wako ninyi ndo mnavunja ndoa za watu.
 
MWAMBIE UNATAKA KUWA SPARE TYRE KWA MUDA, MAIN TYRE LIKIPATA PUNCTURE UNAJICHOMEKA MAZIMA.... IKISHINDIKANA MWAAMBIE AMUANZISHIE FIGISU FIGISU JAMAA YAKE KAMA VILE AMWAMBIE ANA KIBAMIA..HAPO ATAACHIKA MTU UTACHUKUA SPACE
 
ondoka zako bwana..Utakatwa mpini na huyo mpinzani wako..ni mtu mkali ujue namfahamu..atakutia ulemavu ukiendelea hivi..
 
Hakuna mtu ambaye yupo single. . Unamtoa mwingine kwenye kiti tu, komaa mwanaume
 
Back
Top Bottom