VentureCapitalist
JF-Expert Member
- Mar 12, 2018
- 403
- 546
Demu Ana jeuri hata jinsi alivyonijibu ni wazi amekuwa katika makuzi yasiyo mema!yani umtukane kisa hataki kutoka na wewe ? ,ushauri wetu ni KUWA KWANZa
Nimeshadelete zote ameniboa Sana!Hebu kwanza tuone hiyo picha mmliyokuwa mnakiss.
Kwahiyo nikomae nae mzee ila ataachia tu.nataka niwale marafiki zake kimya kimya zake wao hawana noma ingawa Kuna kengine kanaringa ila kanapenda hela.Mzee ukiwa kwenye sherehe ukapata mtu hakikisha unammega siku hiyohiyo akitoka pale ile furaha na wenge la sherehe au msiba humuisha na kurudiwa na akili timamu.
Kwahiyo hapo ni binti akili zimemrudia wenge limemtoka. Fanya maisha mengine. Halafu kumtukana mtu ambaye amekuonyesha maamuzi yake ni yapi ni ujinga, kua mpole.
TumefanyajeWanaume wa siku hizi [emoji38], khaaa
Huyo demu anatia hasira kweli.natamani nisingemtongoza in the first place Wala kuonana nae demu gani ???sasa si umuache tafuta asiye na jeuri......... pengine wewe sio good kisser ndo maana anakuletea ujeuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Natamani apate supp Kama Zote!Nenda kamshtaki kwenye uongozi wa chuo.
Ngoja nimlee tunda kimasiharaDemu akijifanya fisi wewe jifanye mzoga tu
Atasogea mwenyewe
Hebu ntumie namba ya mmoja ambaye unaona huna mpango nayeKwahiyo nikomae nae mzee ila ataachia tu.nataka niwale marafiki zake kimya kimya zake wao hawana noma ingawa Kuna kengine kanaringa ila kanapenda hela.