Wako tele wasokua na majibu yakishenzi kama hayo,nnahakika hujakutana na waschana wastarabu,au hujui kumthibiti mwanamke ukiwa kama mwanamme..
Jamani Boflo seriously unachekesha jamani nihurumie mbz=avu zangu bana zisije zikalegea ujue mi zimekaza.Topic zako bana we acha tu.Msichana akitaka kukutafutia
sababu ya kukukataa wala
hatumii nguvu,ana majibu mengi ya kutoa na majibu yao makuu ni:
1.We kwanza mweusi na mi mweusi mtoto
atakuwa so
dark,mi napenda wanaume
weupe ili mtoto atoke
mzuri..Anaongea kwa kujiamini
utadhani kwenye kutunga
mimba huwa anamsadidia Mungu kuumba rangi ya mtoto!
2.We sio type yangu,sasa sijui
type ipi anataka?
3.Am not ready,moyo wangu
umepasuka...moyo upasuke
bado unatembea?
Kuwa Mwanaume
shida,tunapambana na majibu unaweza
kumzaba vibao mtu
na Love inaisha hapohapo!
Weka na ww majibu yao
Hahaha au hehehe na ww mbona hukutokea white party bana?
Msichana akitaka kukutafutia
sababu ya kukukataa wala
hatumii nguvu,ana majibu mengi ya kutoa na majibu yao makuu ni:
1.We kwanza mweusi na mi mweusi mtoto
atakuwa so
dark,mi napenda wanaume
weupe ili mtoto atoke
mzuri..Anaongea kwa kujiamini
utadhani kwenye kutunga
mimba huwa anamsadidia Mungu kuumba rangi ya mtoto!
2.We sio type yangu,sasa sijui
type ipi anataka?
3.Am not ready,moyo wangu
umepasuka...moyo upasuke
bado unatembea?
Kuwa Mwanaume
shida,tunapambana na majibu unaweza
kumzaba vibao mtu
na Love inaisha hapohapo!
Weka na ww majibu yao
Haya bana mi nitakujuza tu.Zikikaza sana. Nitakuja kuziregeza free of charge