Msichana ajirusha kutoka ghorofa la saba

kabla hujapenda,jiweke tayari kwa lolote na ukabiliane nalo kwa namna yeyote ila si kutoa uhai wako ambao Mungu amekupa utimize kusudi kubwa ulilolitegemea.
 
huu mwaka nuksi tupu na tuna minne mbele.


swissme
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sijajua umemaanisha nini, Ila usifike mbali kote huko
 
kabla hujapenda,jiweke tayari kwa lolote na ukabiliane nalo kwa namna yeyote ila si kutoa uhai wako ambao Mungu amekupa utimize kusudi kubwa ulilolitegemea.
haya mapenzi eenh ni kitu gani eeenh
haya mahaba ni kitu gani eeenhhh
haka kawimbo huwa nakapendaga sana
 
huyu bibie nae hakuangalia upande mzuri wa kujirusha,
sasa ndo nini kafanya,
ameniudhi sana
 
yani kama sababu ni malovee ..ni bora arudishwe juu ajirushe tena tuu..uupuuzi maridhawa
 
Dar...Inategemea na aina ya mpenzi...Kuna elimu bure...kilimo kwanza...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
ha haha yote hayaniui mwenzio .. nilishapendaga wakati huo kama chizi hadi alikuwa ananipa mapenzi ya kimkataba siku niliyofunguka na kumpa kibuti duh moyo ukawa butu na kuahimshiamapenzi kwenye pesa
 
Isije kuwa ni power of love.. Pole zake kwa maumivu
 

Da!! siku hizi wanawake ni majasiri mnoooo! ile ya kunywa sumu haipo tena.
 
ha haha yote hayaniui mwenzio .. nilishapendaga wakati huo kama chizi hadi alikuwa ananipa mapenzi ya kimkataba siku niliyofunguka na kumpa kibuti duh moyo ukawa butu na kuahimshiamapenzi kwenye pesa
Dah....πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…