MSIBANI kwa MABINA

Status
Not open for further replies.
asubuh nimepita maeneo ya sheli iliyopo jlan na mji wa mheshmiwa nkaona mapikpk na mabajaj yakiwa na bendela ya mabina*kjan* yaknyweshwa mafta sa skujua kama ndo yalikua maandamano coz yalikua zaid ya mia
 
Kumekuwa na uitikio mdogo wa wananchi hasa baada ya kuwepo na uoga kufuatia kukamatwa kwa baadhi ya watu wengi wanaokisiwa kufikia 30 mpaka sasa. Nipo eneo la tukio kumuaga marehemu. Wamehudhuria viongozi wa kisiasa na kiserikali. Yupo waziri magufuli, rpc,rc. Wakuu wa wilaya na wengine mbalimbali

Wewe hujakamatwa mkuu?
 
RPC ameenda kumzika mtu aliyeamua kujichukulia sheria mkononi

Hivi aliyeuwawa na marehemu Mabina mbona haoungelewi kabisa ana title gani huyo mtu? Nadhani marehemu Mabina ana kesi ya kujibu pia.

hapa ndo tutapata jibu kwamba tunaishi ktk ulimwengu wa namna gani

Hivi Historia ya marehemu imesomwa kweli?
 
Acha afe tuu...dunia imepungukiwa muuaji mmoja.....street justice for lifeeeeeee.
 
But for the sake of "wafiwa" poleni sana you lost a dady, uncle and a bread winner...lakini that dude wasn't a good fella....i know it hurts to hear this ..but ama call a spade nothing other than a spade with capital s.
 
aliua na yeye kauwa,je anazikwa kwa taratibu za kidini?

Yule aliuwawa HAKUJIUA hivyo kufanyiwa taratibu za kidini inawezekana,ila kama angekuwa amejipiga risasi mwenyewe kufanyiwa taratibu za kidini inakuwa utata..Hilo ndo jibu nililopewa na kiongozi mmoja wa dini
 
attachment.php
 
Kesi inatakiwa iendelee na Mtuhumiwa awekewe Pingu KABURINI. Hatutaki mzaha kabisa . Hata maiti ahukumiwe.
 
Tujifunze kitu hapa tumekuwa na tamaa ya Mali mpaka tunasahau kama tunaishi na watu Nooma kweli... hii
 
Yule aliuwawa HAKUJIUA hivyo kufanyiwa taratibu za kidini inawezekana,ila kama angekuwa amejipiga risasi mwenyewe kufanyiwa taratibu za kidini inakuwa utata..Hilo ndo jibu nililopewa na kiongozi mmoja wa dini

Huyu kampiga risasi mtoto wa miaka 12,viongozi wa dini waliomzika wamepotoka.
 
Leo kauawa mabina kesho atauawa mtu wa CDM nataka muendeleee kucoment ujinga wenu huuu huuu,nafurah sana kusikia tuhuma za Polic kwenye Kifo cha mchumia tumbo D Mwangosi
 
Leo kauawa mabina kesho atauawa mtu wa CDM nataka muendeleee kucoment ujinga wenu huuu huuu,nafurah sana kusikia tuhuma za Polic kwenye Kifo cha mchumia tumbo D Mwangosi

Mtu yeyote awaye yule bila kujali chama anachotokea hawezi kupambwa pambwa ikiwa ameuwawa style ya mabina. Yule ni mtu asiyefaa kuwepo kati kati ya jamii. Huwezi kumpiga mtoto risasi ya kichwa ukataka wewe ukamatwe bila kuguswa upelekwe polisi. Huo ni upuuzi unaoutaka tuuendekeze. Si unaona rpc kaja kutoa pole unadjan huyo angepelekwa polisi kuna haki ingetokea hapo? Eb achen upuuzi wenu. Aliyemuua mwangosi yuko wapi? Mbona anafichwafichwa akiwa anapelekwa mahakamani? Mijitu mingine inakera sana ngoja mtoto wako na yeye aje apigwe risasi ya utosi makusudi na mjinga mjinga mmoja uone kama utakuwa na hamu ya kumpeleka huyo mtu polisi.mxxxiiiiiuuuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom