a.k.a_Mimi
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 292
- 113
Balaa la ongezeko la bei na kushuka kwa thamani ya fedha dhidi ya dola ni msiba wa afrika mashariki....inaonekana tunafuata nyayo za Zimbabwe....tulihoji inakuwaje tulipoletewa sarafu ya 500. Jirani zetu wanatumia laki moja ya noti na wana mpango wa kuongeza zaidi ya hapo