Setuba Noel
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 426
- 210
Lucy Samillah ni jina kubwa sana katika ikulu kuanzia sanasana awamu ya pili ya Mzee Rukhsa. Mama huyu alifariki na kuzikwa jana hapa Arusha. Kwa uzito wake, JK na Pinda wamehudhuria mazishi yake. Mungu amweke mahali pema peponi mama Lucy Samillah, amen.