Msiba wa Gabriel Kisanga

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,674
Reaction score
37,852
Familia ya kisanga
inapenda kuwajulisha mciba wa mtoto wao gabriel kisanga uliotokea jumamosi kwa ajali ya gari akitokea moshi..gabriel amekuwa kiongozi wa akudo banda,amefanya kazi riki hottel kama it manager na mpaka aanakufa alikuwa na kampuni yake ya it
msiba uko kwa mjomba wake danstan panda gari la masaki shuka mwisho wa kituo uliza msiba ulipo watakuonyesha..gabriel anatarajiwa kuagwa kesho mchana saa sita muhimbili kuelekea moshi kwa maziko

bwana ametoa bwana ametwaa jina la bwana libarikiwe
 
Sidhani kama familia inapenda kutujulisha kuhusu msiba, lazima inasikitika. Poleni wafiwa na RIP Marehemu.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…