Msiba wa Ajira ya mwanamke

Kyagi

New Member
Sep 15, 2021
3
2
Ajira kwa mwanamke imekuwa chanzo cha uharibifu wa familia nyingi Barani Afrika hata sehemu fulani ya Dunia kwa ujumla.

Chanzo kikuu sio tu mwanamke bali majukumu yanayomfanya mwanamke kushindwa kusimamia au kutekeleza majukumu yake kifamilia.

Vitendo vya Ukatili kwa watoto vimeshamiri nchini na baadhi ya maeneo Duniani kutokana na mama kukosa muda wa kuangalia familia kwa ukaribu zaidi, hivyo wafanyakazi za ndani hubeba mzigo mzito wa Familia kwa maslahi madogo, Heshima hafifu toka kwa wasimamizi wao na muda hafifu wa kufanya majukumu yao binafsi ikiwemo kupumzika hivyo hujikuta wakitenda vitendo vya Kikatili bila wao kufikiri kuwa ni Ukatili kutokana na uhalibifu wa kisaikolojia unaotokana na Kukosa Upendo na mwongozo Bora toka kwa viongozi wao.
 
Back
Top Bottom