CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
Sisi watumishi wa Mungu huu mjadala hautuhusu
Sisi watumishi wa Mungu huu mjadala hautuhusu
yaani kama mimi ndo kwanza nasikia leo kuwa hiyo hali inaweza ikaashiria kitu......Sisi watumishi wa Mungu huu mjadala hautuhusu
Basi shusha neno la unabii kuhusu hii mada........
yaani kama mimi ndo kwanza nasikia leo kuwa hiyo hali inaweza ikaashiria kitu......
Kwa maana wale ulionipa sijampoteza hata mmoja.
Imeandikwa usimjaribu Bwana Mungu wako.
Baada ya kusema hayo napenda kukufahamisha kuwa hakuna yoyote ajuaye siku atakayokuja mwana wa Adam..... kesheni mkiomba kwa kuwa hamuijui siku wala saa
Na hili ndilo neno la Mungu.
ha haaaa, mkwe yaani mimi nitaRIP atakapopenda BWANA...........Mkwe kama ndio hivyo.... watoto wetu wasiwowane maana kuna uwezekano wa mimi au wewe..... sana sana wewe ukaRIP.
Basi fanya juu chini tupate muda wa faragha wa kutafakari neno hili.......
Na wote tuseme Amina. ......
ha haaaa, mkwe yaani mimi nitaRIP atakapopenda BWANA...........
kwani wewe unajua mwanangu atawowa lini?Bwana atapenda uRIP siku ya harusi ya mwanao.
kwani wewe unajua mwanangu atawowa lini?