Pole zimeshafika, asubuhi hii tunakutana pale Mwananyamala Hospitali kwa maandalizi ya kuisafirisha miili ya marehemu hao kwenda Kilimanjaro kwa mazishi. Kikao cha asubuhi hii kimepanga msafara uondoke saa saba mchana, na kutakuwa na mabasi (Toyota Coster) matatu ambapo imeamuliwa kila basi libebe mwili mmoja marehemu hao ili kuepuka usumbufu wa Traffic njiani.
Nawashukuru sana kwani naamini ni wengi waliopoteza ndugu au jamaa zao katika dhahama hii ya mafuriko, nimelazimika kuweka uzi huu kutokana na kustushhwa na msiba huu mzito wa rafiki yangu. Ni kijana mdogo sana kwa umri, I think 32 years kupoteza familia..............