Wakuu nimeangalia mtandaoni naona majibu hayaendani na context. Naambiwa ni befell, disaster, destiny, tragedy na accident. Msiba naomaanisha ni wa kufariki mtu moja tu, kwa Kiingereza tunasemaje?
Asante.