Nawashukuru sana member wenzangu wa jamiiforums kwa kua na mimi bega kwa bega mwanzo mwisho. Natambua mchango wenu wa hali na mali, wengi sana mumenifariji kwa uwezo wenu, wapo walio fika msibani, walionitumia pm, walionitumia email, walio nipigia simu, wote nasema asanteni sana. Lakini shukurani za kipekee kabisa ziwaendee,
Mtambuzi,
Madame B,
manoah,
ladyfurahia,
mathematics, dada yangu
Mayasa,
Lady doctor,
Arushaone,
Passion Lady,
nitonye,
Evelyn Salt,
Drama Gal,
hammy J, dada
amu, na wengine wengi. Mimi sina cha kuwalipeni but Mungu tu ndo anaye weza. Mumenifaanya niamini kwamba jf ni zaidi ya mtandao wa kijamii. Nathamini na kutambua faraja zenu nyote. asanteni sana. Mia
CC;
Invisible.