Msiba CHADEMA Mwanza

Diwani Manoko wa kata ya Kirumba jijini Mwanza kupitia tiketi ya Chadema kafariki leo katika hospitali ya Bugando wald namba 7 baada ya kuugua kwa muda wa siku 2 kwa ugonjwa wa Pneumonia!
<br />
<br />
rest in eternal peace kamanda.
 
Poleni sana wafiwa ndiyo maisha hayo. Mungu amkumbuke marehemu
 
Polen Watanzania, polen wana Mwanza, wana Kirumba polen sana!! Tumepoteza Jembe hakika....!!!
 
R.I.P Mungu ndio muweza wa yote na ndio alitupatia wewe ukawa mmoja wetu katika kundi la haki na kikosi cha kwanza kwa tunaopigania Uhuru wa kweli/Ukombozi wa kweli.Tutakuenzi milele AMEN.
 
Poleni wafiwa wote bila kujali itikadi wala chama. Mungu ilaze roho ya marehemu mahala pema peponi. Ameni.
 

Mungu na awape uvumilivu wafiwa wote katika kipindi hiki kigumu
 
R I P kamanda tutakuenz milele daima.rest in eternal peace.
 
Mungu ailaze roho ya mahehemu panapostahili.
 
Ee Mwenyezi Mungu mpokee ndugu yetu na umpumzishe kwa amani, Amen.!
 
pnemonia kumbe yaua siku hizi?

Sometimes yes depending on the cause! They say: "Pneumonia caused by bacteria tends to be the most serious kind."
Kwa hiyo tusishangae, inategemea aliwahi tiba kiasi gani. Mara nyingi pneumonia huambatana na joto kali (homa) pamoja na kikohozi. Hivyo watu hutibu malaria kwa kutokana na hali ya homa na dawa ya kikohozi tu. Wanapogundua kuwa tiba waliyotumia haifanyi kazi ndipo huenda hospitali na mara nyingi huwa wamechelewa.
Pneumonia inatibiwa kwa antibiotic hasa baada ya kufanya uchunguzi wa maabara ili kujua ni wadudu gani na wanatibiwa kwa antibiotic gani.
Otherwise, naungana na wana JF wengine kutoa pole kwa wana CHADEMA na familia kwa ujumla.
 
Rip kamanda mungu ailaze roho yako mahala pema peponi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…