Mshumaa ni ishara ya nini?

Mshumaa ni ishara ya nuru, katika kipindi cha majonzi huleta tumaini kwa wenye huzuni.

Katika sherehe za kuzaliwa kuangaza maisha yako yawe na nuru (furaha na amani)
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…