MSHUMAHAHabari wanajamvi .
Kabla ya yote naomba nitoe pole kwa watanzania wote na hasa walioguswa moja kwa moja na msiba wa watoto, na wadogo zetu, uliotokea wakielekea karatu(R.I.P)
Baada ya pole naomba niulize maswali kadhaaa, Ila kabla ya swali naomba nieleze chanzo hadi hili swali likanijia kichwani
Siku ya Leo mitandaon kuanzia fb hadi watsapp, Dp za watu wengi na status zao zimesheheni mishumaa.na hata Mimi nmeweka.
Suala likaja pale moja ya magropup niliyopo kuna jamaa akabadiili picha na kuweka mshumaaa.baada yakuweka hiyo picha .kuna member akauliza,
" hivi waliofariki kwenye ajali ni dini moja? Tukajibu hapana
Kisha akasema dini yake yeye hairuhusu .na yeye ni mwislamu
Kabla ya hapo Mimi nlijua mshumaa ni ishara ya maombolezo tu na sikuwahi kujiuliza ina maana gani ,Leo nmetaman kujua mambo kadhaaa
1: naomba kujua maana na tofauti unapowashwa sehemu zenye maombolezo, kanisani, na kwenye birthday party
2: kwanini mshumaa tu
3: nani alianzisha kama inawezekana nipate historia yake
4 : je ni wakristo tu ndo hutumia
mengine ntauliza kutokana na majibu
Natanguliza shukrani
MSHUMAHA-MSHUMAAMSHUMAHA
Ni mwanga, nuru, tumaini, kutokuepo kwa Giza, kiashiria cha heri
Hii sio tafsir ya kidini, ni lugha ya picha
Nikama ukiona moshi, ujue kuna moto
Let candlelight to well wish our deceased innocent children
Rest in peace you all
Asante Mkuu walau nmepata kituMSHUMAHA
Ni mwanga, nuru, tumaini, kutokuepo kwa Giza, kiashiria cha heri
Hii sio tafsir ya kidini, ni lugha ya picha
Nikama ukiona moshi, ujue kuna moto
Let candlelight to well wish our deceased innocent children
Rest in peace you all
Mkuu kwahiyo hii kitu imekaa kikristoNijuavyo mimi kikristo.
Mshumaa huwa unajitolea kuungua na mpaka kuteketea ili wewe uweze kupata MWANGA usikae GIZANI
- The same to JESUS CHRIST, aliyejitolea KUPIGWA, KUTESWA na KUUAWA kama mbadala wa sisi binadamu ili Tupate UZIMA ambao tulikuwa tumeshaupoteza
Hizi akili duuh!!Umeme umekatika
Najua umeelewa nikiburi tu cha kuonesha unajua zaidi, ukikua utaachaMSHUMAHA-MSHUMAA
Nimeweka mimi tafsiri ya kikristo, mambo ya mishumaa kila mtu ana tafsiri yake. Hata waganga wa jadi wanaitumiaMkuu kwahiyo hii kitu imekaa kikristo
Najua umeelewa nikiburi tu cha kuonesha utaachaunajua zaidi, ukikuaMSHUMAHA-MSHUMAA
Nmekuzingatia sana mkuuMshumaa ulianza kutumiwa na binadamu kabla ya yesu kristo mshumaa ulikua unatumiwa na wafarme wakati was zama hizo.yesu alipo zaliwa mamajusi kutoka pande za mashariki walimletea yesu km zawadi kwakua yesu in mfalme was mbinguni na duniani.ktk biblia imeandikwa nta .nta in mabaki ya asali .baada ya yesu kupewa zawadi hiyo kanisa LA kwanza lilianza kutumia mshumaa katika ibada km mwanga unaoashiria upendo .pia zawadi hiyo ya mshumaa iliashiria kifo cha maumivu cha yesu polepole pale msalabani.