Msichana uyu katika picha alikaa miaka 25 bila kuwa na mahusiano alikuwa akisubiri mwanaume atakaye kuwa tayari kumuoa, kweli alifanikiwa kumpata na baada ya miezi kadhaa walifunga ndoa kubwa tu. Sasa wakati wakiwa ukumbini huku kila mmoja akiwa na furaha isiyo kifani. Msichana uyu alichukua maiki nakusema, "Sasa ndio naanza maisha lasmi hapa duniani, kipindi kile wala sikuwa na sababu yakuishi ata Mungu angechukua uhai wangu nisinge mlaumu..ila kwa sasa nitampa ata hongo ili niishi nitakavyo."
Alipomaliza kuongea ukumbi mzima ulishangilia, lakini kabla hajarudisha maiki Kwa MC alishika kichwa nakulalamika kwa kupata maumivu makali sana ya kichwa. Bila kupoteza muda walimtoa nje ili kuepuka kelele za ukumbini lakini aliendelea kulalamika kichwa kinauma. Muda huu jasho lilikuwa likimtoka na macho yakawa mekundu, kwa hofu walimkimbiza hospital ila alipoteza maisha akiwa njiani huku mwilini akiwa bado kavaa vazi la harusi.[emoji141]
Kamwe usichukue maisha kwa urahisi, ukadhani Dunia ni yako unajidanganya, mshukuru Mungu kwa uo uhai ulionao..[emoji24][emoji24]
Ni kufumba na kufumbua, kila kitu kinaweza kubadilika.[emoji1651]
MUNGU AKUPE MWISHO MWEMA [emoji120]
View attachment 2485521