Mshua na house girl

Mshua na house girl

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
55,028
Reaction score
59,657
Mtoto kamuona mama yake maziwa akamuliza mama hiyo ni nini? ,mama akajibu mapulizo,mtoto akasema ahaa kumbe ndio mana baba alikua anampuliza dada wa kaz kule jikoni . mother akazimia
 
hapo dingi kama anasikia atakua anan'gata vidole "daah dogo kaharibu aaah"
 
Mtoto kamuona mama yake maziwa akamuliza mama hiyo ni nini? ,mama akajibu mapulizo,mtoto akasema ahaa kumbe ndio mana baba alikua anampuliza dada wa kaz kule jikoni . mother akazimia
Ni nzuri Saint Ivuga. Ila umeniharibia mwishoni kwa kuweka maneno haya: mother kazimia. Ucheshi niupendao ni pale mtu unacheza na imagination zako kuhusu kilichotokea.
 
wewe inabidi uulize alivyozinduka kilitokea nini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom