Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,119
- 27,934
Kuleta mwanamke tena? Vibaya hivyo huijui kesho yakoTafuta kisafari cha uwongo na kweli umuache hapo ajitegemee kama wiki hivi ataondoka tu mwenyewe
au tafuta mwanamke mlete hapo
Kuleta mwanamke tena? Vibaya hivyo huijui kesho yakoTafuta kisafari cha uwongo na kweli umuache hapo ajitegemee kama wiki hivi ataondoka tu mwenyewe
au tafuta mwanamke mlete hapo
Kumtunza mwanaume mwenzio si mchezo mkuu. Si mchezo.Dooh sentensi yako ya mwisho unaamanisha baharia atalegezwa washeli na mgeni?
Duh! upo vema jamaaUsimfukuze ila mchane tu kuwa mzee baba, shemeji yako anataka kuja harafu sielewi itakuwaje hapa? Tena mwambie demu ana mimba yako so kakaza kuja kukaaa na wewe.... Baada ya miezi akisepa zuga kumcheki stor mbili tatu ingiza mada ya demu wako mimba kutoka uzunika sanaaaaaa.... Mwana atakupa pole ila ushikaji utaendelea na atakuwa tayr ana kwake.
Akirudi anakuta ghetto jeupe, jamaa kauza vyote alafu kasepa.Tafuta kisafari cha uwongo na kweli umuache hapo ajitegemee kama wiki hivi ataondoka tu mwenyewe
au tafuta mwanamke mlete hapo
Nimekupenda mkuuJina lako emmanuel maana yake Mungu pamoja nasi sasa wewe mbona unataka kuwa shetani pamoja nawe?????
Kwani wewe kwenye hicho chumba umeoteshwa mizizi.???
Kama kweli una utu na upendo wa kusadidia tafuta chumba kingine wekeni godoro mshkaji wako ahame au wewe uhame..
Cha kwanza kabusa msaidie mshkaji wako kupata mishe ya kufanya..mkiweka malengo na wewe hpo kwenye system miezi mitano mshkaji wako atakua na getto lake..
Msaidie tu kwa kuwa huwezi jua wewe atakuja kukusaidia nani,
Tenda wema nenda zako msaada hauna risiti baba
Eeeh Boss achukue hiyoDuh! upo vema jamaa
Kwa hiyo ndio umeamua kuja kunisema huku jf?
isiwe tabu nitaondoka.tu...
BE BLESSED SIR FOR YOUR ADVICEJina lako emmanuel maana yake Mungu pamoja nasi sasa wewe mbona unataka kuwa shetani pamoja nawe?????
Kwani wewe kwenye hicho chumba umeoteshwa mizizi.???
Kama kweli una utu na upendo wa kusadidia tafuta chumba kingine wekeni godoro mshkaji wako ahame au wewe uhame..
Cha kwanza kabusa msaidie mshkaji wako kupata mishe ya kufanya..mkiweka malengo na wewe hpo kwenye system miezi mitano mshkaji wako atakua na getto lake..
Msaidie tu kwa kuwa huwezi jua wewe atakuja kukusaidia nani,
Tenda wema nenda zako msaada hauna risiti baba
My brother pls try and put into proper use the education you got at uni, sit down with your freand and let him know what is bothering you, be frank with him, and listen to his side of story, either both of you can decide to stay put together for a while before he gets onto his feet, or you can decide he looks for another place to stay, either way sitting down and having a talk irons out lots of issues sir, baraka tele mkuu na rafiki yakoNdio nimaliza chuo na ndio rasmi nimeingia kitaa kupambana na maisha. Nimepanga mahali nasukuma maisha kwa mishe zangu ndogondogo maisha yanasonga
Sasa shida ni kwamba kuna mshkaji wangu nilisomaga naye shule ya msingi miaka ya nyuma kidogo kwa bahati nzuri tukawa washkaji ila sio kivilee sana kwasababu hatujazoeana, ushkaji wenyew ulitokea kwa sababu tulikuwa tunakaa majirani.
Sasa alikuja mkoa ninaoishi (niuweke kapuni) kutafuta riziki yake na yeye wana miradi ya familia mbali kidogo na mji, akashuka zake akaifanya kama miezi miwili hivi wakawa wameimaliza kabisaa wanasubili matokeo ya mradi wao wa kilimo
Shida iko hivi jamaa alivyomaliza akasema anakuja mjini kunisalimia then ataendelea na mishe zake nikasema sio kesi nikamkaribisha
Sasa tangu nimkaribishe mshaji hana ratiba kabisa ya kusepa ndio kwanza anataka na yeye afanye mishe zake hapahapa dah, nimefeel kama kubanwa hivi kwasababu matumizi na bills zote ni juu yangu hata sielewi anasepa lini ukicheki ndio kwanza naanza maisha
NISHAURI
NImwambie mzee baba ajisogeze niendelee na mishe zangu kwa uhuru au nimpotezee apambane na yeye hadi atakapo kuwa sawa?
Sielewi wadau nafanye nn coz hata muda atakaosepa sijui ni lini na mimi ndio sipend kabisa kubanwa
Nanitamwambiaje asepe ?
NAWASILISHA
Tafuta kisafari cha uwongo na kweli umuache hapo ajitegemee kama wiki hivi ataondoka tu mwenyewe
au tafuta mwanamke mlete hapo