Mshkaji kaja kukaa kwangu akidai ni kwa muda ila sasa naona hana mpango wa kuondoka

Emmanuel TM

Emmanuel TM

Member
Joined
Sep 25, 2017
Messages
51
Points
125
Emmanuel TM

Emmanuel TM

Member
Joined Sep 25, 2017
51 125
Ndio nimaliza chuo na ndio rasmi nimeingia kitaa kupambana na maisha. Nimepanga mahali nasukuma maisha kwa mishe zangu ndogondogo maisha yanasonga

Sasa shida ni kwamba kuna mshkaji wangu nilisomaga naye shule ya msingi miaka ya nyuma kidogo kwa bahati nzuri tukawa washkaji ila sio kivilee sana kwasababu hatujazoeana, ushkaji wenyew ulitokea kwa sababu tulikuwa tunakaa majirani.

Sasa alikuja mkoa ninaoishi (niuweke kapuni) kutafuta riziki yake na yeye wana miradi ya familia mbali kidogo na mji, akashuka zake akaifanya kama miezi miwili hivi wakawa wameimaliza kabisaa wanasubili matokeo ya mradi wao wa kilimo

Shida iko hivi jamaa alivyomaliza akasema anakuja mjini kunisalimia then ataendelea na mishe zake nikasema sio kesi nikamkaribisha

Sasa tangu nimkaribishe mshaji hana ratiba kabisa ya kusepa ndio kwanza anataka na yeye afanye mishe zake hapahapa dah, nimefeel kama kubanwa hivi kwasababu matumizi na bills zote ni juu yangu hata sielewi anasepa lini ukicheki ndio kwanza naanza maisha

NISHAURI
NImwambie mzee baba ajisogeze niendelee na mishe zangu kwa uhuru au nimpotezee apambane na yeye hadi atakapo kuwa sawa?

Sielewi wadau nafanye nn coz hata muda atakaosepa sijui ni lini na mimi ndio sipend kabisa kubanwa

Nanitamwambiaje asepe ?
NAWASILISHA
 
Kunde Ekeke

Kunde Ekeke

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2018
Messages
5,950
Points
2,000
Kunde Ekeke

Kunde Ekeke

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2018
5,950 2,000
Ishi kama Yesu alivyo sema kwa mujibu wa maandiko lakini mimi hilo suala ni dogo sana ningekuwa nimesha mtimuwa kitambo
 
Blaki Womani

Blaki Womani

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Messages
11,044
Points
2,000
Blaki Womani

Blaki Womani

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2011
11,044 2,000
1. Kaa naye mweleze malengo yako weka budget yenu mezani aanze naye kujua kwamba anatakiwa kuchangia chochote.

2. Mweleze ukweli kwamba aliomba kuishi hapo kwa muda mfupi akueleze nini malengo yake.
3. Katika maisha ni kusaidiana pia kushirikishana. Kabla ya kuendelea kujiumiza moyo yaongeleeni hayo muwekane sawa
 
torvic

torvic

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2016
Messages
2,033
Points
2,000
torvic

torvic

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2016
2,033 2,000
Usimfukuze ila mchane tu kuwa mzee baba, shemeji yako anataka kuja harafu sielewi itakuwaje hapa? Tena mwambie demu ana mimba yako so kakaza kuja kukaaa na wewe.... Baada ya miezi akisepa zuga kumcheki stor mbili tatu ingiza mada ya demu wako mimba kutoka uzunika sanaaaaaa.... Mwana atakupa pole ila ushikaji utaendelea na atakuwa tayr ana kwake.
Duh! upo vema jamaa
 
Shunie

Shunie

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Messages
115,727
Points
2,000
Shunie

Shunie

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2016
115,727 2,000
Jina lako emmanuel maana yake Mungu pamoja nasi sasa wewe mbona unataka kuwa shetani pamoja nawe?????

Kwani wewe kwenye hicho chumba umeoteshwa mizizi.???
Kama kweli una utu na upendo wa kusadidia tafuta chumba kingine wekeni godoro mshkaji wako ahame au wewe uhame..

Cha kwanza kabusa msaidie mshkaji wako kupata mishe ya kufanya..mkiweka malengo na wewe hpo kwenye system miezi mitano mshkaji wako atakua na getto lake..
Msaidie tu kwa kuwa huwezi jua wewe atakuja kukusaidia nani,
Tenda wema nenda zako msaada hauna risiti baba
Nimekupenda mkuu
 
I

ibramy

Member
Joined
Jul 23, 2019
Messages
17
Points
45
I

ibramy

Member
Joined Jul 23, 2019
17 45
Usimfukuze jamaa!! Tafuta njia yakumsaidia Ofcuz ni changamoto lakini usikubali alale tu na wewe umletee msosi uyo ni mtoto wa kiume, unapoenda kwenye mishe zako mchukue akajue namna unavyotafuta ili ata akila ajue unatafuta kwa jasho na yeye apambane... Na pia mpe muda wakukaa kwako, ukiona hamna mabadiliko basi mwambie ukweli kuwa huwezi kukaa nae na atafute sehemu nyingine yakuishi
 
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
41,813
Points
2,000
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
41,813 2,000
muulize tu ana mpango gani?
 
T

THE SEAL

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2019
Messages
365
Points
500
T

THE SEAL

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2019
365 500
Jina lako emmanuel maana yake Mungu pamoja nasi sasa wewe mbona unataka kuwa shetani pamoja nawe?????

Kwani wewe kwenye hicho chumba umeoteshwa mizizi.???
Kama kweli una utu na upendo wa kusadidia tafuta chumba kingine wekeni godoro mshkaji wako ahame au wewe uhame..

Cha kwanza kabusa msaidie mshkaji wako kupata mishe ya kufanya..mkiweka malengo na wewe hpo kwenye system miezi mitano mshkaji wako atakua na getto lake..
Msaidie tu kwa kuwa huwezi jua wewe atakuja kukusaidia nani,
Tenda wema nenda zako msaada hauna risiti baba
BE BLESSED SIR FOR YOUR ADVICE
 
T

THE SEAL

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2019
Messages
365
Points
500
T

THE SEAL

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2019
365 500
Ndio nimaliza chuo na ndio rasmi nimeingia kitaa kupambana na maisha. Nimepanga mahali nasukuma maisha kwa mishe zangu ndogondogo maisha yanasonga

Sasa shida ni kwamba kuna mshkaji wangu nilisomaga naye shule ya msingi miaka ya nyuma kidogo kwa bahati nzuri tukawa washkaji ila sio kivilee sana kwasababu hatujazoeana, ushkaji wenyew ulitokea kwa sababu tulikuwa tunakaa majirani.

Sasa alikuja mkoa ninaoishi (niuweke kapuni) kutafuta riziki yake na yeye wana miradi ya familia mbali kidogo na mji, akashuka zake akaifanya kama miezi miwili hivi wakawa wameimaliza kabisaa wanasubili matokeo ya mradi wao wa kilimo

Shida iko hivi jamaa alivyomaliza akasema anakuja mjini kunisalimia then ataendelea na mishe zake nikasema sio kesi nikamkaribisha

Sasa tangu nimkaribishe mshaji hana ratiba kabisa ya kusepa ndio kwanza anataka na yeye afanye mishe zake hapahapa dah, nimefeel kama kubanwa hivi kwasababu matumizi na bills zote ni juu yangu hata sielewi anasepa lini ukicheki ndio kwanza naanza maisha

NISHAURI
NImwambie mzee baba ajisogeze niendelee na mishe zangu kwa uhuru au nimpotezee apambane na yeye hadi atakapo kuwa sawa?

Sielewi wadau nafanye nn coz hata muda atakaosepa sijui ni lini na mimi ndio sipend kabisa kubanwa

Nanitamwambiaje asepe ?
NAWASILISHA
My brother pls try and put into proper use the education you got at uni, sit down with your freand and let him know what is bothering you, be frank with him, and listen to his side of story, either both of you can decide to stay put together for a while before he gets onto his feet, or you can decide he looks for another place to stay, either way sitting down and having a talk irons out lots of issues sir, baraka tele mkuu na rafiki yako
 
I

iamokay

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2019
Messages
210
Points
500
I

iamokay

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2019
210 500
Unaweza ukambeba na bado akakutenda
Unaweza ukamtupa na baadae ukajuta
Sikiliza moyo wako kile unakwambia ufanye ili matokeo ya maamuzi yako uje kuyasheherekea mwenyewe

Binafsi kama hatuna usela wa kiivyo, pita hivi.
 
Forum statistics

Threads 1,335,145
Members 512,245
Posts 32,496,973
Top