Mshituko: Mbowe aongoza mashambulizi ya kuvunja katiba ya chama!

Elitwege

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
5,154
10,809
Tangu mwezi wa tatu mwaka huu wa 2019 , ambao tuliambiwa kwamba Chadema itafanya uchaguzi wake MKUU wa kuchagua viongozi wa kitaifa .

Taarifa iliyowahi kutolewa na afisa habari wa chama hichi ndg tumanini makene mnamo mwezi wa agosti mwaka 2018 ilisema kwamba Chadema ingefanya uchaguzi huo mapema mwezi wa 3 mwaka huu wa 2019.

Ni miezi mitatu sasa imeshapita tangu muda huo uliopangwa upite na hatujaona dalili ya kufanyika kwa uchaguzi huo na wala hamana taarifa yoyote iliyotolewa mpaka sasa.Kwa jinsi hali ilivyo na ratiba zilivyokaa mpaka sasahaitowezekana tena kwa chama hicho kufanya uchaguzi huo mkuu kwa sababu mwezi unaokuja wa Julai pilika pilika pilika za uchaguzi wa serikali za mitaa zinaanza.

Tukumbuke uchaguzi huo usipofanyika mwaka huuitakua in uvunjwaji wa katiba ya chama hicho.Sababu haswa ya kutofanyika haijawekwa waz,i lakini wadadisi wa mambo wanasema hazina kuu ya chama hicho imekauka fedha za ruzuku zimechotwa na wajanja wameenda kufungua mahotel ndani na nje ya nchi.

Kama ni mbinu ya Mbowe ya kuchelewesha kufanyika uchaguzi huo mpaka sasa basi atakua amefanikwa kuwa Mwenyekiti wa milele asiyepingwa aliyetawala kwa zaidi ya miaka 20 peke yake.Tukumbuke kwamba ratiba ya uchaguzi ilikua ni mwezi wa 3/2019 ndio kipindi amabachoMbowe alifanya sinema nyingi za kuwatoa wafuasi wa chadema kwenye reli kwa kujisababishia kesi nyingi zisizo na kichwa wala miguu kama vile kuruka dhamana na kwenda kutumbua fedha za ruzuku ughaibuni.
CHADEMA UCHAGUZI LINI?
 
Mliambiwa wapi na nani kawaambia, pambaneni na tifu lenu huko Membe keshawatia dole mnaanza kushikana uchawi.
tapatalk_1558852214951.jpeg
 
Watakuambia oh sijui tuna kesi mahakamani kwa hiyo hatuwezi kufanya uchaguzi. Yaani akina Mbowe wanaomba hiyo kesi isiishe ili kusudi wanyooshe mambo yao. Ha ha ha. Kufa kufaana.
Lakini Mbowe na chadema yake hawateki, wala hawapigi watu risasi tofauti na CHAMA CHA MAUAJI (CCM) wao wamebakiwa na kazi ya kuteka na kuua watu hovyo badala ya kuwaletea maendeleo kama walivyowaahidi.
 
Alipoamua kuwa mwenyekiti wa maisha alishaivunja misingi ya demokrasia ndani ya CHADEMA anapaswa kusoma alama za nyakati na kufanya marekebisho kukirudisha chama kwa wanachama ili kiendelee na mikakati chanya ya kutafuta kura za kuliongoza Taifa letu
Tangu mwezi wa tatu mwaka huu wa 2019 , ambao tuliambiwa kwamba Chadema itafanya uchaguzi wake MKUU wa kuchagua viongozi wa kitaifa .

Taarifa iliyowahi kutolewa na afisa habari wa chama hichi ndg tumanini makene mnamo mwezi wa agosti mwaka 2018 ilisema kwamba Chadema ingefanya uchaguzi huo mapema mwezi wa 3 mwaka huu wa 2019.

Ni miezi mitatu sasa imeshapita tangu muda huo uliopangwa upite na hatujaona dalili ya kufanyika kwa uchaguzi huo na wala hamana taarifa yoyote iliyotolewa mpaka sasa.Kwa jinsi hali ilivyo na ratiba zilivyokaa mpaka sasahaitowezekana tena kwa chama hicho kufanya uchaguzi huo mkuu kwa sababu mwezi unaokuja wa Julai pilika pilika pilika za uchaguzi wa serikali za mitaa zinaanza.

Tukumbuke uchaguzi huo usipofanyika mwaka huuitakua in uvunjwaji wa katiba ya chama hicho.Sababu haswa ya kutofanyika haijawekwa waz,i lakini wadadisi wa mambo wanasema hazina kuu ya chama hicho imekauka fedha za ruzuku zimechotwa na wajanja wameenda kufungua mahotel ndani na nje ya nchi.

Kama ni mbinu ya Mbowe ya kuchelewesha kufanyika uchaguzi huo mpaka sasa basi atakua amefanikwa kuwa Mwenyekiti wa milele asiyepingwa aliyetawala kwa zaidi ya miaka 20 peke yake.Tukumbuke kwamba ratiba ya uchaguzi ilikua ni mwezi wa 3/2019 ndio kipindi amabachoMbowe alifanya sinema nyingi za kuwatoa wafuasi wa chadema kwenye reli kwa kujisababishia kesi nyingi zisizo na kichwa wala miguu kama vile kuruka dhamana na kwenda kutumbua fedha za ruzuku ughaibuni.
CHADEMA UCHAGUZI LINI?
 
Mbowe anahatarisha kuifuta chadema
Sheria mpya ya vyama imempa msajili ubavu wa kufuta chama kama hakitafanya uchaguzi
 
Hapa ndio huwa naona hakuna anae elewa maana halisi ya neno democracy.

Maana hawa vyama vya upinzani wanaoongoza kwa kunyooshea vidole CCM kuwa wanakiuka katiba na sheria (kitu ambacho ni kweli na kipo wazi) wanashindwa pia kubaini madhaifu yao katika kusimamia katiba ya chama tu. Sasa swali linakuja kama hawa wanashindwa kusimamia katiba ya chama wataweza kusimamia katiba na sheria za inchi.

CCM kushinda uchaguzi kila baada ya miaka mitano ni matokeo ya upinzani dhaifu.
 
Back
Top Bottom