(makala hii imeandikwa na Dr. Mohammed Seif Khatibu)
Sio mwingine ila alikuwa Maalim Seif mbele ya hadhara na kuelezea kwa nini kiongozi huyo wa Zanzibar amefanya kosa na dhambi kubwa ya kutaka kuubadilisha muundo wa Muungano badala ya kuwa wa serikali mbili alitaka uwe wa serikali tatu kinyume na sera za Chama.
Hongera Nape kwa kutupa hili somo. Sikujua unafiki wa Maalim Seif
Nape ana busara sana
Nape bdo kijana mdogo,unakuwa na fikra finyu za kutoa mawazo,bila shaka ukizeeka utakuwa mchawi.