Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,613
- 17,638
Mhhh mbona kwa haraka haraka ukiangalia vizuri hao kama wanaenda kwenye shuguli na bibie dirishani naona kabisa akikata hunoFikirieni hawa watu wawili: mpiga picha na huyo dada kwenye usafiri mgumu wa dar anayetaka kuwahi nyumbani kuhudumia familia yake. Ni yupi kati ya hao wawili aliyekatikiwa na mshipa wa fahamu?
Mkuu hicho kinaonekana ni kikundi cha wasasambuaji kinaenda kwenye tukio. Naona wenzie humo ndani ya basi wana sare na vifaa vya kazi kama Drums, Trumpet etc..!Fikirieni hawa watu wawili: mpiga picha na huyo dada kwenye usafiri mgumu wa dar anayetaka kuwahi nyumbani kuhudumia familia yake. Ni yupi kati ya hao wawili aliyekatikiwa na mshipa wa fahamu?
huyo dada anacheza ngoma kwenye gari...........unakuta wanaenda mahali na ngoma yao wanacheza kwenye gari.........nshashuhudia mara kibao.....tena wakiona watu ndiyo wanatoa makalio yao nje muone vizuri.Fikirieni hawa watu wawili: mpiga picha na huyo dada kwenye usafiri mgumu wa dar anayetaka kuwahi nyumbani kuhudumia familia yake. Ni yupi kati ya hao wawili aliyekatikiwa na mshipa wa fahamu?
afanyia ivo wanaume wa dar es salaam, wanaume wa mkoani hawezi kuthubutu kufanya huo ujinga kwasababu atakachokipata hatokujarudia tena. ulishawahi kuona wapi hii zaidi ya dsm?
Huyo mdada ana uhusiano na Avatar yako Mkuu?Kitako chenyewe kama ugali wa mia tatu alafu mtu anajioooona wa maaaaaanaaa pumbavuu
Nakubaliana na wewe baada ya kuikagua picha vizuri zaidi. Kweli hao wadada wanaenda kwenye 'vigodoro' mbagala mwisho!huyo dada anacheza ngoma kwenye gari...........unakuta wanaenda mahali na ngoma yao wanacheza kwenye gari.........nshashuhudia mara kibao.....tena wakiona watu ndiyo wanatoa makalio yao nje muone vizuri.
Hata miye nshagundua hilo mkuu!Natengua kauli kwamba wanakwenda kuhudumia familia zao.Mkuu hicho kinaonekana ni kikundi cha wasasambuaji kinaenda kwenye tukio. Naona wenzie humo ndani ya basi wana sare na vifaa vya kazi kama Drums, Trumpet etc..!
Pia wako kama vile wamevaa nguo za sare!Mhhh mbona kwa haraka haraka ukiangalia vizuri hao kama wanaenda kwenye shuguli na bibie dirishani naona kabisa akikata huno
ndiyo hvyo .........Nakubaliana na wewe baada ya kuikagua picha vizuri zaidi. Kweli hao wadada wanaenda kwenye 'vigodoro' mbagala mwisho!