Mshipa wa aibu umekatika?

Fikirieni hawa watu wawili: mpiga picha na huyo dada kwenye usafiri mgumu wa dar anayetaka kuwahi nyumbani kuhudumia familia yake. Ni yupi kati ya hao wawili aliyekatikiwa na mshipa wa fahamu?
hii sio tafsiri ya picha tajwa......hakuna anaewahi kuihudumia familia yake hapo na mpiga picha asilaumiwe alaumiwe huyo dada aliejitwisha viloba na mshipa wake wa aibu kukatika.......fuatilia uzuri mkuu ndani ya hilo basi dogo utagundua hakuna anaewahi kuihudumia familia yake..
 
Fikirieni hawa watu wawili: mpiga picha na huyo dada kwenye usafiri mgumu wa dar anayetaka kuwahi nyumbani kuhudumia familia yake. Ni yupi kati ya hao wawili aliyekatikiwa na mshipa wa fahamu?
Mkiwa mnawahi nyumbani na usafiri ni mgumu, sharti kuacha "maungo" yenu wazi?
Alafu hebu chunguza vizuri hiyo picha, kweli kuna dalili yoyote ya kusingizia usafiri ulikuwa mgumu? Kama sio ulevi wa "pilau" basi ni jotoridi la Dar na kupatwa kwa dala dala na mpiga ngoma aliye jirani na huyo unayemtetea?
 
wana haraka so anachimba dawa dirishani , ni kawaida kama kwenye ndege, unamaliza mambo yako kwenye chombo unachosafiria , viwanda viwanda baby
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…