Elections 2010 Mshindwe wenyewe!

Ngisibara

JF-Expert Member
Jan 2, 2009
3,303
2,079
Mshahara wenu kwa mwezi ni shilingi ngapi?, je zinatosha kwa mwezi? Nyumba mnazolala ni bora? Kodi mnayokatwa je ni halali? Madeni yenu mnayodai je mmelipwa?
Sasa nakukumbusheni kuwa wakati akihutubia wale wazee alisema.....kuweni kama mbayuwayu kwa kuchanganya na za kwenu....mimi nasema kwaherini tutaonana tena 2015



6447947.jpg
 
Hao wataishia kusimamia uchaguzi na mara utakapokwisha hawatalipwa mafao yao kama wale wazee wa East Africa ...labda nao waje walale barabarani
 
Watawapa za kuanzia afu nyingine watazungushwa mpaka wakome!
 
Back
Top Bottom