Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

Status
Not open for further replies.

Jiunge kwenye telegram kwa chat na free signals
 
News trade.

@

IMG_20190418_122251_134.jpeg
 
na wewe mkuu sio muwazi mama Debora amekuomba umwambie una kiasi gani kwa lot size kama zile umebaki unaruka ruka kama sungura unaogopa nini hasa
Sasa mkuu wangu nikisema nna kiasi gani itasaidia nini?

Infact hata hizo screen shot nimeweka tu kama njia ya kuonyesha kwa sisi tunao trade forex (ambao hatuchezi forex kama mleta mada alivyosema) we are making money out of forex, otherwise nisingeeka maana ni kinyume na maadali yangu kama binadamu na kama trader!! Sawa?
 
WALIO TAYARI
-Natoa mafunzo ya forex kwa mbinu za hidden world
-Account Management
Mahitaji ya Account Management
login details na copy za ID zako Nida/Passport/Driving License/Kura zenye majina sawa na login details
Forex Training TZS 450,000/- au $200
Account Management Nachukuwa 45%
Kama kwako ni kinyume na imani haikuhusu hii
Just PM for the service
mkuu wewe si kuna kipindi uliposti akaunt ina dollar laki mbili. sasa iweje uanze kufukuzia hizo dollar miambili za watanzania wenye mwamko Wa kujua fx. Toa tu hizo hidden free tu utabalikiwa upige pips nyingi kuliko kawaida
 
Mbona AFFILIATE marketing inaingiza pesa nyingi sana na Mtanzania huyu huyu wanaojua ni 0.1% tu na Mtanzania huyu huyu alikuwa anasema ADSENSE ni uongo lakini sasa hivi baada ya kusikia watu kadhaa wanapiga pesa kila mmoja akaanza kufungua BLOG.
Blog ikamshinda Mtanzania huyu wakaanza YOUTUBE channels lakini nako pamekuwa pamoto kwa wengi. Ukumbuke kuwa sasa ADSENSE imegeuka ukweli na sio uongo.
So let wait all things will be revealed, Guys just continue learning and trading.
UKWELI USIOPINGIKA waTZ tunajijua tunapenda kitu cha BOOM BAA yaan uweke pesa usubiri kupata faida ukiambiwa tu kuwa unatakiwa ujifunze sana free and paid balaa linaaza ndio maana wengi wamerud nyuma coz ata vitu vinavyozungumzwa kwenye forex ni TECHNICALS yaan kama ujatulia uwez kuelewa utakuwa unaona tu chenga.
Kama unaona FOREX ni ujinga kwa nn usijiunge na the same Brokers ufanye TRADING ya NASDAQ au NYSE kama mnavyotrade pale DSE? au DSE nako ni kamali?????
Kama ishu ni kujifunza na kuelimika, jamaa yangu mpaka anafungua darasa basi amebobea

Ila hana hela yoyote
 
mkuu wewe si kuna kipindi uliposti akaunt ina dollar laki mbili. sasa iweje uanze kufukuzia hizo dollar miambili za watanzania wenye mwamko Wa kujua fx. Toa tu hizo hidden free tu utabalikiwa upige pips nyingi kuliko kawaida
 
Telegram free join.
IMG_20190424_102648_553.jpeg
 
mkuu wewe si kuna kipindi uliposti akaunt ina dollar laki mbili. sasa iweje uanze kufukuzia hizo dollar miambili za watanzania wenye mwamko Wa kujua fx. Toa tu hizo hidden free tu utabalikiwa upige pips nyingi kuliko kawaida

Hapa ndiyo nnaposhindwa kuelewa watu wanataka kufundshwa kutengeneza mamilioni for free, haitokaa itokee popote.
Godi mpare kawaonyesha anavyomake pesa watu wanaanza kusema ataunguza hyo account hana risk management aiseeeee kazi ipo sio kidogo.
Hivi nani alicheza na mindset za watu kiasi hiki?
 
Watanzania tuna "Husda" "Viroho"
 
Join free telegram

IMG_20190428_155532_644.jpeg
 
hivi ni nani anaechezesha ile chart ya forex?
Kwa ujumla tu nikujibu kwamba kama vile bidhaa fulani mfano nyanya inavyopanda bei (maana yake nyanya zimekuwa adimu hivyo mahitaji ya nyanya ni makubwa. Hii ndio hupelekea nyanya kupand bei) au nyanya kushuka bei (maana yake nyanya zimekuwa nyingi sokoni kuliko mahitaji ya watumuaji wa nyanya - hivyo hupelekea nyanya kushuka bei sokoni).

Hivyo hivyo kwa upande wa fedha mfano USD inapopanda thamani maana yake ni kwamba kuna upungufu wa hiyo pesa kwenye mzunguko (sokoni) mahitaji ya hiyo fedha ni makubwa hivyo watu wengi wanainunua hiyo fedha. Na kinyume chake pia ni sahihi.

Kwa hiyo chati (graph) ya fedha (currency) inapokuwa inapanda maana yake ni kwamba watu wengi wanainunua hiyo fedha (mahitaji ya hiyo pesa ni makubwa-wanunuzi ni wengi) kuliko wanauza hiyo fedha. Na chati ya hiyo fedha inapokuwa inashuka maanake ni kwamba thamani ya hiyo pesa imeshuka na wanaotaka kuiuza ni wengi kuliko wanataka kuinunua.
 
Hapa ndiyo nnaposhindwa kuelewa watu wanataka kufundshwa kutengeneza mamilioni for free, haitokaa itokee popote.
Godi mpare kawaonyesha anavyomake pesa watu wanaanza kusema ataunguza hyo account hana risk management aiseeeee kazi ipo sio kidogo.
Hivi nani alicheza na mindset za watu kiasi hiki?
mkuu tunataka free tukipata ndo tukulipe
 
Nimefunga duka mpaka j3. Kuna watu wanpiga hela ndefu sana kwenye fx hapa hapa tz. Mafankio yako yanategemea bidii yako tu ya kujifunza na kuzingatia mambo yote muhimu ya fx. Kutoka jana mpaka leo nimeweza kupandisha balance kutoka USD 1227.49 mpaka 3045.16 bila strugle yoyote maana mi swingi trader. KWA LEO 1817.67 USD SI HABA!
View attachment 1069951
Kama ni kweli??? Game itakushinda mapema, haiko realistic
 
Kama ni kweli??? Game itakushinda mapema, haiko realistic
Najua hapo utakuwa macho :rolleyes::rolleyes::rolleyes: yote yapo kwa risk mgt! Kuna namna mbali mbali za ku-implement risk mgt. Hvyo usinihukumu sana! Usione kwa kuwa natrade 1 standard lot basi ukajua position zote zilifunguliwa wakati mmoja! Kuna kitu kinaitwa pyramiding of positions na position breakeven trailing. Kwa hiyo ukiapply hzi technique unaweza kufungua hata position 5 za 1 standard lot na bado usiwe na risk kubwa sana! Sometimes trading is like an art!
 
Hahahaha sawa mkuu

Back
Top Bottom