Mshikaji ahack akaunti ya Mark Zuckerberg kuprove point...

Mshikaji ahack akaunti ya Mark Zuckerberg kuprove point...

Joeli

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Posts
4,941
Reaction score
3,417
Mtu mmoja amehack akaunti ya muanzilishi wa mtandao wa kijamii mkubwa kuliko yote duniani ili tu amwoneshe bug aliyoigundua baada ya kuwatumia barua pepe mainjinia wa facebook na kumpotezea, baada ya jamaa kuona jamaa hawamsilikilizi akaona atupie kwenye wall ya sarah.goodin ambae ni rafiki wa zuckerberg na mwanamke wa kwanza kujiunga facebook.

kuona haitoshi akatumia wall ya zuckerberg kuacha ujumbe kuhusu tatizo aliloliona na wakamzembea.........

Dear Mark Zuckerberg,

First sorry for breaking your privacy and post to your wall , i has no other choice to make after all the reports i sent to Facebook team .

My name is KHALIL, from Palestine .

couple days ago i discovered a serious Facebook exploit that allow users to post to other Facebook users timeline while they are not in friend list .

i report that exploit twice , first time i got a replay that my link has an error while opening , other replay i got was " sorry this is not a bug " . both reports i sent from www.facebook.com/whitehat , and as you see iam not in your friend list and yet i can post to your timeline .

this is the last email i sent including the Facebook team replay .
Hi

i appreciate your time reading this and getting some one from your company team to contact me .

sincerely



baada muda mchache wakamtafuta, na wakaziba uo mwanya japo hawakumlipa

soma zaidi hapa: Security researcher hacks Zuckerberg's page to prove a point - Neowin
khalil
 
ni jambo jema kubadilishana uzoefu katika kazi. kwani jamaa mark hatakiwi kubweteka kwani tumekuwa tuki chukia xana hasa watu wanoweza kututumia sms au e mail za kichoko wakti hatuna mpango nao , hackers wamezidi fb.
 
Nimeona hii leo, jamaa baada ya hapo immediately security team wakafunga acc yake (claiming to close the loop hole) then wakamtafuta na kumuomba full details on the bug, jamaa bila kinyongo akawaeleza. Ila mind you fb wanatoa 500Usd gift kwa yeyote atakaeona bug or any vulnerability in their system, jamaa alipowaambia wamemgeuka na kusema njia aliyotumia ku prove point yake inavunja sheria zao( ambazo hawakuziweka bayana ni zipi walipoulizwa)! Wakamaliza kwa kumwambia, asante na uwe pamoja na facebook kutuonesha matatizo mengine zaidi!!
 
Mark inatakiwa aongeze dau bhana wa2 waanze ku penetrate kuhack account za wa2 ili waweze kujipatia pesa
 
Mbona sijawahi sikia www.jamiiforums.com ime hackiwa??
hakuna kinachoshindikana, ila kwa mtazamo wangu, hakuna sababu ya kuharibu kitu ambacho ni cha manufaa kwa jamii hasa kwa nchi kama yetu inayochipukia, kama huamini watangaze dau kama ambavyo yahoo, google, facebook wanavyofanya kwenye hackathon zao uone kama watu hawatateka akaunti,
 
Mpalestina mmoja aliamua ku-hack Facebook wall ya Zuckerberg baada ku kutoa taarifa Kwa facebook kuwa kuna bug na jamaa wakadharau kuwa hiyo sio bug. Jamaa akaamua ku-hack Facebook wall ya Zuckerberg na kumuandikia mzee mwenyewe!
Mbaya zaidi hawa jamaa wamemnyima 'bug bounty' pesa ambayo mtu yyte anayepreport bug ambayo ni critical anapewa kiasi kuanzia dola 500, Cheki hapa zaidi, na ujue ni kwa nini walimnyima 'bug bounty' Gonga Hapa!
 
Mkuu jenga mazoea ya kupitia post za watu kabla hujapost uzi kama huu ulikua ushaletwa na C6

https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/507678-mshikaji-ahack-akaunti-ya-mark-zuckerberg-kuprove-point.html#post7118903


Mpalestina mmoja aliamua ku-hack Facebook wall ya Zuckerberg baada ku kutoa taarifa Kwa facebook kuwa kuna bug na jamaa wakadharau kuwa hiyo sio bug. Jamaa akaamua ku-hack Facebook wall ya Zuckerberg na kumuandikia mzee mwenyewe!
Mbaya zaidi hawa jamaa wamemnyima 'bug bounty' pesa ambayo mtu yyte anayepreport bug ambayo ni critical anapewa kiasi kuanzia dola 500, Cheki hapa zaidi, na ujue ni kwa nini walimnyima 'bug bounty' Gonga Hapa!
 
Last edited by a moderator:
mfano ni anonymous
kuna makundi ya hackers wa kiarabu wengi tu, kama ukiwa unafatilia makundi ya hackers basi utakuwa unawajua hackers wa kiarabu....

anonymous ni kundi hacktivists ambao ni worldwide, hata wewe chief-mkwawa unaweza kuwa anonymous kuna utaratibu wa kufuata
 
Last edited by a moderator:
marck zuckberg is a jew so he didnt want to give his money to a palestine guy!!!
 
marck zuckberg is a jew so he didnt want to give his money to a palestine guy!!!

mkuu hacking na bug ni vitu viwili tofauti, inamaana kama ni bug hata mimi ningepost kwenye wall ya zuck
 
Back
Top Bottom