mshana org
JF-Expert Member
- Jan 28, 2012
- 2,091
- 620
Huna haja ya Mshenga kaka,nitafutie Tetere mweupe,kipande cha sanda iliyotumika na robo lita ya petroli nimalize kazi kaka,ukitaka hata umkute chumbani kwako utamkuta....
wadau nahtaji mshenga mwenye
uzoefu wa kuweza kumbadilisha MENTION= Elizabeth dominic
MENTION.nimetumia uzoefu wangu kwakila hali nimekwama lakini bado
nampenda na namuhtaji.atakayeweza kufanikisha zoezi hilo atapata donge
nono.
Wenu ...............m.........
nilivyoona neno mshenga nikajua ushafanikiwa kumweka Eliza kwenye ufalme wako...nadhani unahitaji kuwadi
Mkuu nasikia hua zinachuja
wadau nahtaji mshenga mwenye uzoefu wa kuweza kumbadilisha MENTION= Elizabeth dominic MENTION.nimetumia uzoefu wangu kwakila hali nimekwama lakini bado nampenda na namuhtaji.atakayeweza kufanikisha zoezi hilo atapata donge nono.
Wenu ...............m.........
unahitaji mshenga ua Kuwadi mbona kiswahili kigumu hivi
Mmmmhh!
we nione mie hapa, couz me ni ndiye shostiake wa ukweee!!!!
una shilingi ngapi nikakukuwadie?