Elections 2010 Mshaurini Slaa Agombee Uspika

Hilo linyegekuwa jambo la Busara sana kama angegombe uspika, ila atagombeaje na yeye sio mbunge tena, labla atafute jimbo achakachue ili aweze kugombea Ubunge kwanza aweze kuingia bungeni ndio aweze kugombea Uspika. Ila tatizo lililopo wapinzani wenyewe hawana ushirikiano, hapo unadhani atashinda kweli?
 
Kwenye basi nililolipanda leo wakati naenda kazini, nimesikia kuwa upinzani (Chadema) wamepata viti vingi vya ubunge, na baadhi ya wabunge wao ni sawa na 50 wa CCM, kama hivyo ni kweli basi mshaurini Slaa agombee Uspika kwani ameangukia pua kwenye uraisi, au bado mna matumaini?

kwa nini wewe usigombee huo uspika?
 
Msiwe na wasiwasi mna wabunge wengi atapita tuu, Tundu Lissu peke yake ni sawa na wabunge 50 wa CCM (Kwa mujibu wa ndoto zenu)
 
ni ushauri tuu nimeutoa, kama mnahisi yeye anafaa kwa uraisi tuu, basi asubiri 2015 ajaribu tena

hivi wewe kilaza wa siasa na mawazo umetokea wapi???? Kabla ujakurupuka siku nyngine uliza watu wa karibu nawe kwamba prosses zinakuaje katika kugombea.. Yan watuandikia upuuzi mtupu
 
ushauri wako mzuri, tumeupokea, atagombeaje usipika kabla hata matokeo hayajatangazwa?? wewe umejuaje urais kashindwa, matokeo yalotajwa ni majimbo ambayo ccm ndo imeongoza bado ya chadema yenye wapiga kura wengi, kutangulia si kufika, ushindi hadi kipyenga cha mwisho kipulizwe
 
Utayala matapishi yako I am sure after few dayz, bila shaka una matatizo makubwa ya kifamilia, wenzi ni hapa tu :israel::israel::israel::israel::israel:
 
Sio wazo baya...kama kweli amaeshindwa...unaweza kuwa spika bila kuwa mbunge....akiwa mle nadani warekebishe katiba na sheria mbalimbali na hasa hili li NEC liwe Independent Electoral Commission of Tanzania(IECT)
 
Huu sio uwanja wa vijiweni kwa hiyo huyu jamaaa asituleteee habari za kusikia "No search no right to speak" alaaaaaaaaaaaaa
 
Una ugojwa wa matende??

...au ana busha kabisa! Au ana maambukizi ya toxoplasmosis kwenye ubongo?Maana sifa ya ugonjwa huu ni kubadili tabia such that prey anatafuta predator yeye mwenyewe ili aliwe (e.g. panya akiwa na ugonjwa huu hutafuta sana mkojo wa paka ambaye kama akimkuta paka mwenyewe lazima aliwe). So this kind of people are seeking to be 'eaten by 'Fisadis' wao wenyewe huku wakidhani wanafuata jambo la maana!! Schizophrenic!!! But time will tell. The time for change has come, is here and is now!!! Tanzania will never be the same...Aluta continua!
 
Ni bora kufahamu kuwa Dr. Silaa hakuwahi kuwa mtu wa kutafuta vyeo, bali kuweka na kujenga msingi imara wa kupata viongozi/uongozi wa kuongoza taifa. Na hilo amefanikiwa.
 
Hilo linyegekuwa jambo la Busara sana kama angegombe uspika, ila atagombeaje na yeye sio mbunge tena, labla atafute jimbo achakachue ili aweze kugombea Ubunge kwanza aweze kuingia bungeni ndio aweze kugombea Uspika. Ila tatizo lililopo wapinzani wenyewe hawana ushirikiano, hapo unadhani atashinda kweli?

Hapa JF ni kisima cha elimu, tena ya bure. Napenda kukuelimisha kuwa kazi ya uspika haihitaji/haina sharti la kupata ubunge kwanza. Mtanzania yeyote anaweza kugombea na kuchaguliwa uspika, maadam awe na akili timamu na anajua kusoma na kuandika Kiswahili au Kiingereza. Basi.
 
Najua CCM mnauguza maumivu na viti mlivyo navyo ni cooked! Hata aya hamna...kweli wanaharamu nyie
 
Msiwe na wasiwasi mna wabunge wengi atapita tuu, Tundu Lissu peke yake ni sawa na wabunge 50 wa CCM (Kwa mujibu wa ndoto zenu)

Kwani wewe ndoto zako zikoje? Ratio ya wabunge 'wako' kwa wa CHADEMA iko ngapi kwa ngapi? Wa CHADEMA 50 ndio CCM mmoja?
 
Msiwe na wasiwasi mna wabunge wengi atapita tuu, Tundu Lissu peke yake ni sawa na wabunge 50 wa CCM (Kwa mujibu wa ndoto zenu)

we MSENgerema nini????
hivi ujioni ni mjinga hata post yako hamna alietoa THANKS...
mana unaandika non sense...
KILAZA KILAZA KILAZA kavamia kwa wenye busara
 
Kwenye basi nililolipanda leo wakati naenda kazini, nimesikia kuwa upinzani (Chadema) wamepata viti vingi vya ubunge, na baadhi ya wabunge wao ni sawa na 50 wa CCM, kama hivyo ni kweli basi mshaurini Slaa agombee Uspika kwani ameangukia pua kwenye uraisi, au bado mna matumaini?
maneno ya mkosaji...:nono:
 
we MSENgerema nini????
hivi ujioni ni mjinga hata post yako hamna alietoa THANKS...
mana unaandika non sense...
KILAZA KILAZA KILAZA kavamia kwa wenye busara

Yamekuwa hayo tena, huna busara hata kidogo, lakini sijali kwa matusi hamuwezekani
 
Back
Top Bottom